Nipeni mbinu za kumdaka mwizi wangu

The ice breaker

JF-Expert Member
Apr 20, 2023
543
1,163
Wakuu, naombeni mbinu za kumdaka mwizi wangu.

Juzi kati nimeibiwa pesa, cm na vitambulisho, bad enough IMEI no za cm, siku save popote.

Ila nahisi, ni madogo wa hapa hapa mtaani. Nipeni mifumo au mtego gani, nitumie, huyo mwizi ajichanganye tena, nimdake.

Niliwaza niwe napiga doria kuanzia saa saa nane usiku mpaka alfajiri, nitakae mdaka, masaa hayo, ni muhoji na kama Hana majibu ya logic, ni deal nae parpendicular.
 
Dah pole sana
Kwa hali hii ukikuta watu wanamtwanga mwizi sidhani kama hautamuacha aisee.

Mara nyingi wezi hawaishi kwa sababu ya viumbe hawa wawili. Viumbe hawa ndo sumu ndani ya jamii na ndiyo wanaozalisha wezi
1. Mtoa ramani kwa wahalifu
2. Dalali wa vitu vya wizi

Wezi wakishaiba wanapeleka mali kwa dalali na wanasubiri mshiko wao wagawane. Na mwivi haji hadi ahakikishiwe na mtoa ramani yaani informer wao.

Mkimkamata mwizi, kabla wanachi hawajajawa na hasira, mumhoji kuhusu hizo njemba mbili hapo juu.
 
Wakuu, naombeni mbinu za kumdaka mwizi wangu.

Juzi kati nimeibiwa pesa, cm na vitambulisho, bad enough IMEI no za cm, siku save popote.

Ila nahisi, ni madogo wa hapa hapa mtaani. Nipeni mifumo au mtego gani, nitumie, huyo mwizi ajichanganye tena, nimdake.

Niliwaza niwe napiga doria kuanzia saa saa nane usiku mpaka alfajiri, nitakae mdaka, masaa hayo, ni muhoji na kama Hana majibu ya logic, ni deal nae parpendicular.
Mkuu nipe hiyo tenda nikuletee mwiz wako
 
The ice breaker pole kwa kuibiwa vitu vyako.

Kama simu yako ni android, kwa kutumia kompyuta, ingia kwenye find my device, ingiza email na password, hapo utaziona IMEI za simu zako na utaweza kufuta data zote pamoja na kuifunga simu yako. Vilevile utaweza kutrack location, ila hii ni kama tu simu itakuwa online kwenye internet
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom