Wakuu, nimekuja rasmi sasa!

Wakuu, nimekuja rasmi sasa!

Wow! Nimefurahi kuona unavyojibu maswali ya wadau, kwa kweli unajibu kwa weledi wa hali ya juu sana!!

Hakika kwa ujibuji huu niliohuona, akili yangu inakataa kuona is only professional!! Kweli tena, mwenzako nimeanza kuhisi uwepo wa kipaji kingine amazing, nyuma ya elimu ulioyonayo Dr. Sema nashindwa tu kukidetermine, haswa ni kipaji gani. Ila, una KIPAJI MKUU!!

For sure am speechless Dr... Kwa hili, acha tu nikupe hongera sana mkuu Dr Sai. Na asante kwa hiki unachokifanya humu, hakika utabarikiwa.

Nami nimekuja pm kwako, nadhani ukipata nafasi ya kupitia huko, utaikuta shida yangu. Ni imani yangu, utanisaidia Dr.

Thank you in advance!
 
Je ni kwanini mtu anapopiga story na watu baadhi yao wanagoma kumpa usikivu, hata kwenye vikao watu hawapendi kusikiliza maoni yake. Pia mtu huyo cha ajabu watu wanamhofu na akijichanganya na watu au mtu watu humuangalia vibaya?
 
Hali hiyo inachangiwa na uwepo wa mambo mengi. Ila chanzo kikubwa ni MATOKEO YA PERSONALITY ya mtu huyo kuwa mbaya, katika jamii husika.

Je ni kwanini mtu anapopiga story na watu baadhi yao wanagoma kumpa usikivu, hata kwenye vikao watu hawapendi kusikiliza maoni yake. Pia mtu huyo cha ajabu watu wanamhofu na akijichanganya na watu au mtu watu humuangalia vibaya?
 
Wow! Nimefurahi kuona unavyojibu maswali ya wadau, kwa kweli unajibu kwa weledi wa hali ya juu sana!!

Hakika kwa ujibuji huu niliohuona, akili yangu inakataa kuona is only professional!! Kweli tena, mwenzako nimeanza kuhisi uwepo wa kipaji kingine amazing, nyuma ya elimu ulioyonayo Dr. Sema nashindwa tu kukidetermine, haswa ni kipaji gani. Ila, una KIPAJI MKUU!!

For sure am speechless Dr... Kwa hili, acha tu nikupe hongera sana mkuu Dr Sai. Na asante kwa hiki unachokifanya humu, hakika utabarikiwa.

Nami nimekuja pm kwako, nadhani ukipata nafasi ya kupitia huko, utaikuta shida yangu. Ni imani yangu, utanisaidia Dr.

Thank you in advance!
Shukrani mkuu.

Hakika ni taalama tu, kusema kwamba ni kipaji...sidhaani!! Na hata kama kutakua na kipaji ndani yake, hakika mie mwenyewe bado sija-note hilo. Ila all in all nitashukuru pia, endapo kotakuwepo na hiko kipaji.

Kuhusu ujumbe wako pm, nimeshauona na tayari nimeshakujibu. I hope majibu yangu, yatakusaidia kutatua hiyo changamoto......but if ukakwama mahali, unaweza kunichek mkuu.

All the best chief Prisoner of hope.
 
Dr. Iv inakuaje mtu mm ninapokua na shida au tatizo lolote yeye yupo tayar kwa Kunisaidia kwa moyo wote na kunipa moyo pia katika changamoto mbalimbali ila sasa yeye anapokua na changamoto especially ya kifedha anakua kama ananichukia kutokana na matendo yake hata kama nitataka kumsaidia yeye huonyesha kuto hitaji msaada.
 
Haiba ni nini Dr Sai? Kiswahili kipana mno
Kwanza, sorry mkuu. Hilo neno lilikaa pale, kwa bahati mbaya tu! Lakini nishafanya marekebisho, unaweza ukapitia tena upya pale.

Ila kimsingi, neno haiba. Linaweza kuelezwa kuwa " Ni uzuri wa muonekano au/na tabia za mtu fulani, ambazo zimekuwa kivutio kwa watu wengi."

Asante.
 
Dr. Iv inakuaje mtu mm ninapokua na shida au tatizo lolote yeye yupo tayar kwa Kunisaidia kwa moyo wote na kunipa moyo pia katika changamoto mbalimbali ila sasa yeye anapokua na changamoto especially ya kifedha anakua kama ananichukia kutokana na matendo yake hata kama nitataka kumsaidia yeye huonyesha kuto hitaji msaada.
Mkuu,
Kwanza ni vyema ukaweka bayana, juu ya mambo haya yafuatayo:-

1: Jinsia ya mtu huyo anayekuwa na tendency ya kukusaidia...
2: Mahusiano uliyonayo na mtu huyo. Je ni ndugu, mpenzi, rafiki, jamaa, jirani etc
3: Na ni mambo gani hasa, ambayo yeye huwa anayafanya pindi anapokwama, then anakuona una attentions za kutaka kumsaidia?.

Note:
Lengo kubwa ni kupata key points, zitakazo toa majibu sahihi ya hiyo scenario. So be honest please.
 
Hellow guyz,
Natumai nyote ni wazima wa afya, wale wenye matatizo mbalimbali...... M/Mungu akawafanyie wepesi, AMEN.

Kama I'd yangu inavyojieleza, kwa jina naitwa Dr Sai, ni mtaalamu wa masuala ya saikolojia ya kijamii (social psychology). Nimekuja kwenu wakuu kuleta msaada wa kitaalam, juu ya changamoto/matatizo mbalimbali ya kijamii, hasa hasa katika uwanja mpana wa mahusiano ya kimapenzi (uchumba), ndoa na familia.

Hivyo naomba kuchukua nafasi hii, kutoa room ya kumsikiliza mtu yoyote yule, anayeona ana kumbwa na changamoto fulani katika masuala hayo...... Na ni matumaini yangu ya kwamba, nitakutana na watu wenye hekima na ustahivu!.

Mwisho, napenda kuwashukuru Mods na members wote, kwa ushirikiano wenu.

Asante.View attachment 1222683
Mapenzi yanataka Nini Kati ya hivi viwili hisia na mantiki..?
Ukiwa Kama mtaalam wa social psychology ni matatizo yapi haswa ya kisaikolojia yanaikumba jamii yetu na ipi utatuzi wake..?
Kutoamini uwepo wa Mungu kunaashiria nini kisaikolojia..?
 
Mkuu,
Kwanza ni vyema ukaweka bayana, juu ya mambo haya yafuatayo:-

1: Jinsia ya mtu huyo anayekuwa na tendency ya kukusaidia...
2: Mahusiano uliyonayo na mtu huyo. Je ni ndugu, mpenzi, rafiki, jamaa, jirani etc
3: Na ni mambo gani hasa, ambayo yeye huwa anayafanya pindi anapokwama, then anakuona una attentions za kutaka kumsaidia?.

Note:
Lengo kubwa ni kupata key points, zitakazo toa majibu sahihi ya hiyo scenario. So be honest please.
=Ni mwaume kama mimi
=Ni rafiki Wa muda mrefu

Msaada tu mfano kodi inasumbua jamaa anasaidia, umeyumba maswala ya chakula.
 
Mapenzi yanataka Nini Kati ya hivi viwili hisia na mantiki..?
Ukiwa Kama mtaalam wa social psychology ni matatizo yapi haswa ya kisaikolojia yanaikumba jamii yetu na ipi utatuzi wake..?
Kutoamini uwepo wa Mungu kunaashiria nini kisaikolojia..?
Asante,

1: Mapenzi yanataka balance ya vyote viwili, hisia na mantiki.

2: Matatizo ya kisaikolojia, yapo mengi sana. Hata useme unanipa mwezi wa kuyaelezea tu, am sure sitoyamaliza!! Kikubwa stay attention, kwenye nyuzi zangu zijazo....hakika utaweza kuyagundua matatizo hayo ni yapi na matatuzi yake ni yapi.

3: Inatokana na kukosekana kwa msingi imara wa uelewa, juu ya binadamu ni nani.

You're welcome.
 
Naomba kujua umuhimu wa kuwa anti social I mean kuwa kivyakovyako yaani usijihusishe na watu au kundi la watu kwa namna yeyote ile zaidi ya salamu hata salamu pia isiwe ya muhimu sana

Lazima kutakuwa kuna faida I need to know them Dr ili nishikilie msimamo wangu sitaki kujua hasara zake nataka kujua faida najua Hakuna kitu chenye kasoro kisichokosa angalau advantage kdogo nataka nijue Dr
Ulijibiwa?
 
Asante,

1: Mapenzi yanataka balance ya vyote viwili, hisia na mantiki.

2: Matatizo ya kisaikolojia, yapo mengi sana. Hata useme unanipa mwezi wa kuyaelezea tu, am sure sitoyamaliza!! Kikubwa stay attention, kwenye nyuzi zangu zijazo....hakika utaweza kuyagundua matatizo hayo ni yapi na matatuzi yake ni yapi.

3: Inatokana na kukosekana kwa msingi imara wa uelewa, juu ya binadamu ni nani.

You're welcome.
Binadamu ni nani..?
 
Asante mkuu madam cute.
Very sorry kwa kuchelewa kukujibu.....nilikuwa busy kidogo!
Ila naomba nianze sasa kulijibu swali lako, sema nitaomba uniwie radhi kidogo, maana naenda kukujibu kwa kifupi, kama ifuatavyo:-

Awali ya yote naomba niweke bayana, kuwa scenario hiyo haimpati mwanamke pekee. Bali hata kwa upande wa kiume pia scenario hiyo inajitokeza, ingawa sio mara kadha wa kadha.

Kwa mwanamke, scenario hiyo inaanza kujitokeza kuanzia age ya 20 up to 26. Kwa upande wa mwanamke hii scenario, huwa na characteristic ya kuanza kwa kasi, then inaanza kunyong'onyea kadili siku zinavyokatika. Yaani pale inapoanza hapo kwenye age ya 20, huwa inakuwa na kasi sana. Ila kila muda unavyozidi kwenda, ndipo na scenario hiyo inavyozidi kupunguza kasi.....hatimahe upotea kabisa.

Ila kwa upande wa mwanaume, mara nyingi scenario hiyo inaanza kuonekana kuanzia age ya 23 up to 35. Na ina sifa kubwa ya kuanza kwa utaratibu sana, pale inapoanza kwenye hiyo 23. Ila kila muda unavyozidi kwenda, ndipo na scenario hiyo huzidi kukua mara dufu!

Hakika kwa pande zote mbili (mwanamke na mwanaume), scenario hiyo inasababishwa na muunganiko wa matokeo ya masuala mawili makubwa. Masuala hayo ni haya yafuatavyo:-

A. Asili ya kijinsia (biological & intellectual factors).

B. Mfumo wa maisha (personality)

Haya sasa, tuanze kuangalia udadavuliwaji wa masuala hayo sababishi.

A. ASILI YA KIJINSIA.

Hakika hiki ndio kisababishi cha kwanza, kinachopelekea kutokea kwa hiyo scenario. Lakini sababu hii, inatupa hasa jibu la kwanini scenario hiyo ujitokeza zaidi, kwa watu wenye range ya ages hizo tu. Kwa maneno mengine, kisababishi hiki kimejikita zaidi kuonyesha ni kwanini, hiyo scenario inawakumba wanawake wa age 20-26. While wanaume inawakumba, katika age ya 23-35.

-Sasa tukianza na upande wa wanawake, tunaona scenario hiyo inajitokeza kwa sababu ya uwepo wa matokeo chanya ya msingi mkubwa wa kijinsia, ambao tunasema ni BIOLOGICAL ISSUES. Hapa tunaangalia biological factors, zinazomfanya mtu wa jinsia ya kike, kutoka kwenye stage ya utoto na kuingia kwenye room ya kuwa mwanamke kamili. Hakika hapa ndipo mwanamke, anaanza kuwa na mng'ao, ambao unakuwa ni kivutio kikubwa kwa mwanaume yoyote yule. Hivyo ujikuta akiwavutia sana kimapenzi wanaume wengi, wenye sifa tofauti tofauti.

Ila ubaya au uzuri wa biological factors hizo, huwa zina asili ya kunyong'onyea, kila muda unavyoongezeka! Na hii tunaweza hata kuipima, kupitia maumbile ya mwili wa mwanamke. Kwa kawaida maumbile ya mwanamke wa kuanzia age 20's, ni tofauti na ya mwanamke wa age 40's.... Na ndio maana hapo juu tumeona, hata hiyo scenario pia ina sifa ya kupunguza kasi kwa mwanamke, kadili muda unavyozidi kwenda.

-Tukirudi upande wa mwanaume, tunaona scenario hiyo inasababishwa hasa na uwepo wa matokeo chanya ya msingi wa asili ya kijinsia katika INTELLECTUAL ISSUES. Hapa tunaongelea intellectual factors, zinazotuwezesha kupima uwezo wa mtu fulani, katika uwanja wa ufikiriaji na upambanuzi wa masuala mbalimbali. Hakika intellectual factors, ni moja ya factors pia zinazomfanya mtu wa jinsia ya kiume, kutoka kwenye room ya utoto na kuanza kuingia kwenye chapter ya kuwa mwanaume kamili.

-Pia tunaona uzuri au ubaya wa factors hizo, nyingi huwa zina tendency ya kukuza uwezo wa kifikiri wa binadamu. Sasa kwenye upande wa mwanaume pindi tu afikapo age ya kuanzia 23, tunaona uwezo wake wa kufikiri kama mwanaume unaanza kubadilika kitaratibu taratibu kwa kukua. Na hakika kila muda wa siku zinavyozidi kwenda, ndio na yeye anazidi kuimalika zaidi kifikra. Sasa tukiangalia hiki kwa makini, ndipo tunapata hoja ya swali la kwanini, mwanaume anazidi kuwa kivutio kikubwa cha wanawake wengi hasa waliomzidi umri, kadili ya jinsi ya yeye anavyozidi kukuwa kiumri!

B. MFUMO WA MAISHA.

Hapa katika mfumo wa maisha, tunaangali zaidi suala zima la personality. Personality inaweza kupimwa katika mambo kadha wa kadha, ikiwemo mamna mtu anavyoongea, anavyovaa, anavyo show his/her feelings etc. Hakika vipimo hivyo vya personality, ndivyo vinafanya tunasema "fulani anafaa kuwa kiongozi" au "fulani yupo kama kibaka" au "Mtu fulani anajisikia/anaringa" etc. Kwa kifupi, personality ndio kitu kinacho hamua mtu fulani awe na taswira ipi, katika jamii inayomzunguka.

Kwa msingi huo tunaona suala la personality, linaweza kupelekea pia mtu akajikuta anakumbwa na scenario hiyo ya kuogopwa na watu wa rika lake, katika muktadha mzima wa mahusiano ya kimapenzi.

Okay basi twende tukaone, how personality inaweza kuzalisha hiyo scenario. Na hapa nitaenda zaidi kuongea kwa upande wa mwanamke zaidi, kama swali lako mkuu madam cute ulivyouliza.

Kwa kawaida mwanamke akifikwa na shida hiyo, ya kujikuta anaogopwa na wanaume wa rika lake, katika muktadha mzima wa mahusiano ya kimapenzi. Ni wazi mwanamke huyo ana personality kubwa, yaani ana muonekano wa matawi ya juu! Na taswira hiyo ya matawi ya juu, haiishii tu kwenye uzuri alionao. Bali pia inabeba hata namna anavyojiweka, kuanzia kukaa, kutembea, kuongea mpaka kuvaa kwake.

Hivyo vijana wenzake wa jinsia ya kiume au watu wanaolingana naye rika, wanakuwa ni watu wanaovutiwa sana kimapenzi na mwanamke huyo. Na akili mwao wanakiri wazi kwamba, hakika mwanamke huyo ni mzuri. Lakini shida inakuja pale, wanapoangalia personality nzima nzima ya mwanamke huyo husika. Hapo ujikuta psychologically, mwanaume anajivua wadhifa wa kuweza kumpata na kumfanya mlimbwende huyo kuwa mwenza wake, katika ulimwengu mzima wa mahusiano ya kimapenzi. Na hiyo yote inatokana na yale anayo yaona kwa mwanamke huyo. Na mbaya zaidi, endapo mwanaume huyo atakuwa tayari kasha kuwa affected kisaikolojia, juu ya hali yake duni ya kipato aliyo nayo!

Ila tukirudi kuona why watu wazima, ndio wanakuwa na courage ya kumtongoza mwanamke huyo. Hapa tunaona kuna vitu vingi sana, vinavyo build hiyo courage kwa wanaume wa age hizo. Awali ya yote tunaona inachangiwa na experience walizo nazo katika muktadha huo. Vilevile wengi wao wanakuwa na hali ya kujikubali psychologically, kwamba i can.....na hii ni matokeo ya uwezo wa kifedha au kitu fulani alichonacho etc. Hakika ndipo hapo, ile personality ya mwanamke iliyowatia hofu vijana au wanaume wa rika lake, inaposhindwa kutake place kwenye mind za watu hao wazima....

Kwa leo naomba niishie hapo madam cute, in case una swali lolote.....you're welcome!

Asante.
Shukrani sana dokta nimekuelewa .
 
Shukrani mkuu.

Hakika ni taalama tu, kusema kwamba ni kipaji...sidhaani!! Na hata kama kutakua na kipaji ndani yake, hakika mie mwenyewe bado sija-note hilo. Ila all in all nitashukuru pia, endapo kotakuwepo na hiko kipaji.

Kuhusu ujumbe wako pm, nimeshauona na tayari nimeshakujibu. I hope majibu yangu, yatakusaidia kutatua hiyo changamoto......but if ukakwama mahali, unaweza kunichek mkuu.

All the best chief Prisoner of hope.
Hapana bhana, hiyo sio taaluma tu!! Binafsi nina marafiki wenye taaluma hiyo hiyo ya kwako, but still hawana kipawa hiko cha kuutilize vyema taaluma yao!! Inafikia point hata ukienda na tatizo, unamuona kabisa anaumiza kichwa, how atawasilisha kile anacho kifahamu!!!

Anyway, nashukuru kwa msaada wako Dr. For sure nimeanza kuyafanya uliyonielekeza, and somehow nimeanza kuona changes!!! Hope ndani ya hizo 2 weeks, mambo yatakuwa sawia kabisa....if nikikwama mahali, nitakutafuta Dr.

Once again, thanks Dr Sai.
 
You're welcome chief.
 
Back
Top Bottom