Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,072
- 61,971
ha ha haWazo lako ni zuri sana.Soma degree kuhusu "LIFE"!Uitwe "the old student in life and home affairs"!
Muda wa kula ukifika wao wanarudi makwaoHebu toka online kacheze bao au draft na wazee wenzako
Waswahili wanasema, mwanaume ni kama simba dume akishazeekaKama bado una mipango age means nothing kep husle
Wazo zuri sana hili, utakuwa umewaokoa wengi sana hapa jf kwa huu ushauri uliotukuka.Duuuh hapa sitii neno ongeza beki 3 km wawili hivi mmoja wa kukupikia chumbani mwingine wa kukupikia jikoni hela za pension si zinaingia kila mwisho wa mwezi au kwanini uteseke?
Wanatakiwa waje waniokoe muda huu kama mimi nilivyo waokoa wakiwa wadogo.Kumbe uliwasaidia ili waje kukusaidia na sio kujenga kesho yao?...Watu weusi wataendelea kubaki nyuma sana katika Uchumi binafsi
Hukuwaokoa, lilikuwa ni jukumu lako...lasivyo usingewazaa SheikhWanatakiwa waje waniokoe muda huu kama mimi nilivyo waokoa wakiwa wadogo.
Wazazi wote wanalitambua hili?Hukuwaokoa, lililuwa ni jukumu lako...lasivyo usingewazaa Sheikh
Sina uhakikaWazazi wote wanalitambua hili?
Utazeeka vibaya weweDogo hata miaka 35 bado, unaanza ndoto za abunuasi
Kama tunakufa, nini maana ya maisha?Anza kutengeneza urafiki na kifo.
Kwa mazingira haya hakuna haja ya kuwa na watoto kwa sababu ni 'liability'Sina uhakika