Ushauri Mchumba Mkurya Mbabe

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,752
3,385
Wakuu kuna jamaa yangu kapata mchumba (mke mtarajiwa) wa kikurya.

Jamaa anataka avute mazima aweke ndani ila ana wasiwasi huyo demu atamgeuka huko mbeleni maana demu hajakaa kizembezembe ni kama mbabembabe fulani kiaina.

Jamaa anaomba ushauri kwa anaewajua hao wakurya na tabia zao maana asijekuwa amejiletea mandonga wa kumchezeshea vitasa kila uchwao.
 
Mkuu kama ni wewe chukua tahadhali, wanawake wa kule kwa kifupi huwa hawapendi mwanaume lege lege, mwenye mapenzi ya pwani sijui kila mara honey..honey,

Kule wanatama mapenzi kidogo, amri na sauti ya kiume kwa sana na akitikisa kiberiti akute kimejaa, hapo mtaendana tofaut na hapo usionje sumu kwa kuonja
 
looh
sa itakuwaje kiongozi?
maana mahali nusu imeshaenda?
 
Wakuu kuna jamaa yangu kapata mchumba (mke mtarajiwa) wa kikurya.

Jamaa anataka avute mazima aweke ndani ila ana wasiwasi huyo demu atamgeuka huko mbeleni maana demu hajakaa kizembezembe ni kama mbabembabe fulani kiaina.

Jamaa anaomba ushauri kwa anaewajua hao wakurya na tabia zao maana asijekuwa amejiletea mandonga wa kumchezeshea vitasa kila uchwao.
Mwambie akaze asikae kimayai mayai
 
Sasa ulivyomuoga hata kuandika kwenye fake IDs kuwa ni wewe unaogopa! Unafikiri akipita humu atakujua. Sasa uoga wote huu unataka demu wa kikurya utamuweza kweli? Kaoe mdigo wa tanga ule raha kuwekewa iliki kwenye maji na kuogeshwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom