Wakuu na-deal vipi na negative self talk?

utakua na ma akili sana,lol, i guess kama haiku affect your normal daily functions then hauna cha kuhofia, ila kama inakuaffect then one way ya ku deal nacho ni KUAMUA kwamba unataka kuacha self talk,strange eehhhh ndio hivyo..find ways to distract yourself mkuu....
 
Probably sababu unasikiliza na kujali watu wanaokuzunguka wanasemaje na kukuchukuliaje. hivyo wewe automatically unaanza kujenga picha yako kutokana na wao.
Kama ule msemo ambao sidhani kama ni maarufu unaosema "ukisikiliza au uongo ukisisitizwa na kurudiwa mwishowe hugeuka ukweli.

Jamii yaani watu wanaokuzunguka wanachangia kwa asilimia kubwa kwenye kutengeneza personality ya mtu.
That's why watu wa masaki na mbagala ni tofauti.

Btw hiyo hutokea na huwa na nguvu zaidi kwa watoto sababu wao huzaliwa kwenye hiyo jamii and well ni watoto means hawana self awareness.
Ila wewe bila shaka ni mtu mzima so you can fight back their perspectives and opinions and your own insecurities.

Cha kwanza ni kuacha kusikiliza watu wanasemaje na cha pili anza kujitambua na kujiamini.
It's as simple as that but not much as that.
 
utakua na ma akili sana,lol, i guess kama haiku affect your normal daily functions then hauna cha kuhofia, ila kama inakuaffect then one way ya ku deal nacho ni KUAMUA kwamba unataka kuacha self talk,strange eehhhh ndio hivyo..find ways to distract yourself mkuu....
Shukrani Rebeca.!
 
Probably sababu unasikiliza na kujali watu wanaokuzunguka wanasemaje na kukuchukuliaje. hivyo wewe automatically unaanza kujenga picha yako kutokana na wao.
Kama ule msemo ambao sidhani kama ni maarufu unaosema "ukisikiliza au uongo ukisisitizwa na kurudiwa mwishowe hugeuka ukweli.

Jamii yaani watu wanaokuzunguka wanachangia kwa asilimia kubwa kwenye kutengeneza personality ya mtu.
That's why watu wa masaki na mbagala ni tofauti.

Btw hiyo hutokea na huwa na nguvu zaidi kwa watoto sababu wao huzaliwa kwenye hiyo jamii and well ni watoto means hawana self awareness.
Ila wewe bila shaka ni mtu mzima so you can fight back their perspectives and opinions and your own insecurities.

Cha kwanza ni kuacha kusikiliza watu wanasemaje na cha pili anza kujitambua na kujiamini.
It's as simple as that.
Shukrani mkuu.,🙏🙏🙏,!
 
Eti wakuu naweza deal vipi na NEGATIVE SELF TALK? Sababu hiki nikitu kinachonikosesha amani. Sometimes nakosa Raha kabisa nakushindwa kufanya baadhi ya mambo. Maana mipango yangu mingi inapanguka tu bila sababu ya msingi,

Je, nitumie njia zipi ku-solve hili tatizo?!

Natanguliza shukrani.!
Ufahamu una kuwili hasi na chanya.. Kwa kwa kawaida inatakiwa kuwe na uwiano usio sawa yaani chanya iwe asilimia 80 na hasi isizidi asilimia 20
Ikiwa hasi inaizidi chanya ama uwiano wake unakaribiana kuwa sawa na chanya unapata tatizo la kiufahanu linaitwa VURUGU ZA KIMAONO... Na nadhani ndio hali unayokutana nayo
Ushauri wangu: zama mitandaoni usome sana makala za kitafiti kuhusiana na hilo tatizo lakini pia usiache kusoma makala zenye POSITIVE THINKING kwa wingi.. Zitakusaidia sana
Makinika tatizo lisikomae na kuwa sugu utashindwa kufanya mengi na kuona kila mtu ni adui yako, wenye inferiority complex wengi wameanzia huku
 
Mkuu. Kuhusu chanzo Hadi Sasa sijajua chanzo ni nini, lakini hapo mwanzo sikua hivi nilivyo Sasa. Nilijikuta tu nakosa confidence nakua mtu nisiyejiamini hasa ninapokua mbele za watu..

Kwaiyo sifahamu chanzo chake hasa ni Nini.!
Sana huwa inatokana na malezi pale ambapo walezi wetu wanakuwa ni wenye kutukebehi kwa maneno yanayotufanya tujione hatuna thamani kwa kufananishwa na wengine.

To be honest maneno wazazi wetu wanayotutamkia tunapokuwa wadogo mfano tunapokosea ama tusipo meet expectations zao ni issue.

Tulikuwa wenzetu tunaoishi nao pia wanaweza sababisha hii hali. Kutoka fila na kuongea shit.

Cha kufanya take note of your negative thoughts. Kuwa makini upate kuzidaka pale tu zinapoanza Ili ujue zinakulenga kwenye nini. Soma vitabu sana km ulizotumiwa hapo juu na wakuu mbali mbali na pia tambua thamani Yako by not succumbing to what people say.
 
Shukrani.🙏🙏!
 
Ufahamu una kuwili hasi na chanya.. Kwa kwa kawaida inatakiwa kuwe na uwiano usio sawa yaani chanya iwe asilimia 80 na hasi isizidi asilimia 20
Ikiwa hasi inaizidi chanya ama uwiano wake unakaribiana kuwa sawa na chanya unapata tatizo la kiufahanu linaitwa VURUGU ZA KIMAONO... Na nadhani ndio hali unayokutana nayo
Ushauri wangu: zama mitandaoni usome sana makala za kitafiti kuhusiana na hilo tatizo lakini pia usiache kusoma makala zenye POSITIVE THINKING kwa wingi.. Zitakusaidia sana
Makinika tatizo lisikomae na kuwa sugu utashindwa kufanya mengi na kuona kila mtu ni adui yako, wenye inferiority complex wengi wameanzia huku
Shukrani mkuu.🙏🙏🙏!
 
Back
Top Bottom