Wakuu na-deal vipi na negative self talk?

Mr Gerome

JF-Expert Member
Dec 6, 2019
327
290
Eti wakuu naweza deal vipi na NEGATIVE SELF TALK? Sababu hiki nikitu kinachonikosesha amani. Sometimes nakosa Raha kabisa nakushindwa kufanya baadhi ya mambo. Maana mipango yangu mingi inapanguka tu bila sababu ya msingi,

Je, nitumie njia zipi ku-solve hili tatizo?!

Natanguliza shukrani.!
 
Eti wakuu naweza deal vipi na(NEGATIVE SELF TALK?) sababu hiki nikitu kinachonikosesha amani. sometimes nakosa Raha kabisa nakushindwa kufanya baadhi ya mambo. maana mipango yangu mingi inapanguka tu bila sababu yamsingi,

Je.nitumie njia zipi ku-solve hili tatizo?!

Natanguliza shukrani.!
Mipango inapanguka au huna uthubutu wa kuyafanya unayopanga? Ukiwa na wazo, lifanyie kazi.
 
Badala ya kufikiria yale ambayo hutaki we tumia muda mwingi kuwazia yale unayotaka,
Mfano labda una madeni lukuki, badala ya kukaa kufikiria hayo madeni maana itakuwa kama unayakaribisha zaidi na zaidi we tumia muda wako kufikiria unavyoweza kupata hela ili uweze kuattract pesa zaidi...
 
Eti wakuu naweza deal vipi na NEGATIVE SELF TALK? Sababu hiki nikitu kinachonikosesha amani. Sometimes nakosa Raha kabisa nakushindwa kufanya baadhi ya mambo. Maana mipango yangu mingi inapanguka tu bila sababu ya msingi,

Je, nitumie njia zipi ku-solve hili tatizo?!

Natanguliza shukrani.!
Soma kitabu cha "What to Say When You Talk to Your Self" by Shad Helmstetter.

Kinapatikana pdfdrive.com

Ni kitabu kizuri sana, kitakusaidia.
 
Wakuu. Nakunaiki kitu wenzentu waita (SEIF-DOUBT) pamoja na (SELF- JUDGEMENTS) kiukweli vyote vinaniandama.

Sababu nimekua mtu ninaejishtukia Sana ninapokuwa mbele zawatu.!
 
Tatizo limeanzaje tuanzie hapo kwanza?na lina muda gani tangu ugundue tofauti hizo?au ndivyo ulivyozaliwa?kama mwanzo ulikuwa vizuri then ukajikuta uko hivyo that means kuna kitu kimesababisha..usipojua root course huwezi solve chochote mana utakuwa unakata matawi tu ilhali mizizi ikiendelea kuimarika nawe ukizidi kujichosha..

Kwa wanaume tulio wengi tukikosa pesa au uchumi ukidorora tunapoteza kabisa uwezo wa kujiamini,kutafakari,kuongea mbele za watu,hata kushiriki tendo LA ndoa na kuwaridhisha wenzi wetu,kama mwanzoni ulikuwa una kipato Fulani kinachoridhisha na sasa umeporomoka nikusihi usijaribu kumtafuta mchawi wa aina yeyote yule kwamba atakuwa amehusika na mapungufu yako..

Pia utasoma sana vitabu vya kukuMotivate ili upate Self Confidence nk lakini utakuwa unapoteza muda mana hutaelewa kwa wakati huo,unachotakiwa kufanya ni kuRelax ili uSettle kichwa uanze mikakati ya kutafuta pesa upya ukiwa umetulia uweze kurudi ktk hali yako ya zamani,jiulize kwanza tatizo limeanzaje then utajua jinsi ya kulitatua..
 
Mkuu. Kuhusu chanzo Hadi Sasa sijajua chanzo ni nini, lakini hapo mwanzo sikua hivi nilivyo Sasa. Nilijikuta tu nakosa confidence nakua mtu nisiyejiamini hasa ninapokua mbele za watu..

Kwaiyo sifahamu chanzo chake hasa ni Nini.!
 
Back
Top Bottom