MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,535
- 21,846
SawaMkuu unaongea kitu usichokifahamu
SawaMkuu unaongea kitu usichokifahamu
Hapana sifanyi fraudlent activities ya aina yeyoteYeah ndio maana nilikuwa namwambia aweke wazi isije ikawa ni mambo ya money laundering
Usimpatie hiyo account, itawekewa fedha za wizi mwisho wa siku msala utakuangukia
Akil za kibongo tunawaza negative qll the time😁
Wewe unataka account za miamala za watu za kufanyia nini kama sio magumashi?Akil za kibongo tunawaza negative qll the time😁