wakuu msaada tafadhali

wakuu msaada tafadhali

clinician

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
2,334
Reaction score
5,527
Naomba mnisaidie jinsi ya kuipata tamthilia ya La Revancha iliyowahi kurushwa na chanel ya TBC1 enzi hizo ikiitwa TVT.Nimejaribu mitandaoni kwa uelewa wangu lakini sijafanikiwa.
 
Duh umenikumbusha kina alejandro asiniegers...soledad
 
Nenda maktaba ya TBC 1 utaikuta ...waambie nimekwambia wakupe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom