Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,660
Nokia T20 tablet
ina sifa gani ukubwa wake kwanza ni upi inaweka ikawa ni tablet zile za watoto mkuu huwezi kuweka ivo unavyovitaji
==Hicho siyo kishikwambi milichopewa juzi kweli na Halmashauri?
https://www.gsmarena.com/nokia_t20-11142.php
Ndio pamoja na memoryInaingia line?
Gb ni Kama 50, Android version11, ram 4ina sifa gani ukubwa wake kwanza ni upi inaweka ikawa ni tablet zile za watoto mkuu huwezi kuweka ivo unavyovitaji
Hpana.Hicho siyo kishikwambi milichopewa juzi kweli na Halmashauri?
hahahahaHicho siyo kishikwambi milichopewa juzi kweli na Halmashauri?
hahahaha
Nenda setting kwenye connection ingia mobile network halafu access point name.Ndio pamoja na memory
Vip kuhusu dial phone or call appNenda setting kwenye connection ingia mobile network halafu access point name.
Angalia kuna setting za internet? Kama hakuna bonyeza kialama cha add/jumlisha halafu itakuja form ya kujaza.
Connection name andika chochote
Apn andika internet
Click save then activate iwe default apn
Toa Msaada
Kikawaida Tablet nyingi Line ni kwa ajili ya data tu, Hupigi simu.Vip kuhusu dial phone or call app
Nimejaribu hapa inaandika access pointi name settings are Not available for this userNenda setting kwenye connection ingia mobile network halafu access point name.
Angalia kuna setting za internet? Kama hakuna bonyeza kialama cha add/jumlisha halafu itakuja form ya kujaza.
Connection name andika chochote
Apn andika internet
Click save then activate iwe defaul
ThanksNokia T20 haina uwezo wa kupiga simu wala sms, line ni ya data tu. Soma kwenye Network https://www.nokia.com/phones/en_int/nokia-t-20/specs?sku=F20RID1A001
ThanksNokia T20 haina uwezo wa kupiga simu wala sms, line ni ya data tu. Soma kwenye Network https://www.nokia.com/phones/en_int/nokia-t-20/specs?sku=F20RID1A001