Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,909
Kwenye uchumba alikuwaje? Hukuziona hizi tabia au ulikurupuka bila kumwelewa vizuri?Zaramo..Na nishajaribu kuresolve kwa kureport kwa mshenga na wazazi pia ila bado yupo vle vle tu..Mwishowe nikaambiwa nimewatukana wazazi wake..Sasa nataka nifanye maamuzi bila kuripoti.
basi kama ulishakaa nae chini mkayazungumza na bado anaendelea hivyohivyo hapo utapata tabu!itakuwa ni mvivumkuu kuandika kote hujanielewa bdo..yaan nshakaa nae chini mara zaidi ya 30..leo imetokea tu kanitext saa 4 usiku maana nilimtext asubuhi hakunijibu ndo kanitmia sms usiku..ndo nikamuanzishia.
mkuu nikiri tu kusema nimeKurupuka..Na kaSura kake kaUpole Mno..kumbe Mtihani tuKwenye uchumba alikuwaje? Hukuziona hizi tabia au ulikurupuka bila kumwelewa vizuri?
Sometimes pia ondoka nyumbani lala nje mwezi mzima akipiga simu unawapa mademu wapokee wamtukane matusi makubwaTafuta katoto lika la Paula jilie uko nje mpka dudu iume ukirud ndan unatulia zako tu somtme acha ma msg ya madem wengne kwenye simu usiangaike nae kumwomba sex mpka atajirekebsha mwenyew.. Tatizo familia zetu za kiafrika mwanaume hana pa kushtak kwenye familia kama ananyimwa tundu la uzuni kwaio na ww mkalie kimya akikisha unavdem vyako viwil vtatu uko nje vya kuvikunja kisawa sawa. Huu n ukwel ambao hata msmamiz wa ndoa yenu hata kwambia
Pole sana mkuu.mkuu nikiri tu kusema nimeKurupuka..Na kaSura kake kaUpole Mno..kumbe Mtihani tu
hii kali sana mkuu 😁 😁 😁Sometimes pia ondoka nyumbani lala nje mwezi mzima akipiga simu unawapa mademu wapokee wamtukane matusi makubwa
asante sn mkuuPole sana mkuu.
Kwa vile hamna watoto lo lote utakaloamua halitakuwa gumu sana kihisia.
Mungu na Awasaidie [emoji1545]
Sawa mkuu..nipo humo humo ktk ushauri wko.Huyo mkeo mlikutana KFC? Kama hujazaa nae,piga chini,maisha ni mafupi kwanini ujitese?
Usijiongopee kua eti atabadilika,never
Piga chini huyo kisha tafuta mwingine ila usifanye haraka.
Ukifunga nae Ndoa sio suala binafsi tena.Mi nahisi kama ulikosea mzee. Ila haujachelewa. Fanya hivi:
1. Kama umepanga, fanya mchakato siku akienda kwa ndugu zake we HAMA kimya kimya na usimuambie mtu ulipohamia.
2. Akija akute haupo. Akikuuliza kwea simu mwambie umerudi kwa wazazi wako au ndugu yako au rafiki yako.
3. Akija kazini kwako (naamini anapajua), mchenge ila kwako usimpeleke. Hadi ahisi unaishi na mwanamke mwingine.
Mkuu aliniaga anaend kwa baba ake kusalmia..kila siku kusalmia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tbia inazd kua mbaya tu..
mkuu yeye ndo kaanza hayo..anapenda mno..mahaba namie hamna kbs.Aisee hivi mliwahi kupendana kweli? Maana mnachati kam magaidi
Unashangaa hyo mkuu..mie nliumwa sana..na kpnd hko ypo manzese kwa mzee wke..yaani hatupo mbali..ananijulia hali kwa meseji tu..sema sikumjibu hata moja..mpk bimkubwa akashangaaUwa unacommuniate na mkeo kwa msj?![emoji15]
Kingine nilichokigundua,umeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa huyo mkeo,umejishusha mpaka amekudharau,umemuonyesha kua bila yeye huwezi kuishi,Sawa mkuu..nipo humo humo ktk ushauri wko.
mkuu kwani kuacha mpk ukoo ujue?Ukifunga nae Ndoa sio suala binafsi tena.
Anaweza hitisha kikao Cha Ukoo na wakaitika.
Yalimkuta kaka yangu.
Na maamuzi yaliyotolewa hakuweza kuyapinga
Nilichomuelewa hapa ni kwamba, hanyimwi mbususu. Anapewa lakini ushirikiano ndio F. Yenyewe imelala tu ila wewe hangaika nayo ukichoka lalaMkuu hebu tupe uzoefu........
Ukimwomba mbususu anakataa? Akikataa anasema anakataa kwa sababu gani?
Mkuu nafny maamuzi.Kingine nilichokigundua,umeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa huyo mkeo,umejishusha mpaka amekudharau,umemuonyesha kua bila yeye huwezi kuishi,
Hata haya maoni yetu kua mpige chini,nina uhakika huwezi kumuacha,
Be strong mkuu,huruma isizidi sana,udhaifu usizidi sana.
Tabia ni kama nguo mkuu! Hata akiwa 30+Kama Ana miaka kuanzia 19-24 Mvumilie ni Tabia za kitoto tu znamsumbua ila kama amevuka zaid ya Hapo, basi huyo ana Mpenzi wake mwingne anayempenda zaidi yako.