Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,547
- 9,656
Jamani naomba msaada WA matumizi ya addition assignment kwenye JavaScript animation
Ni kifupisho (short hand operator)Jamani naomba msaada WA matumizi ya addition assignment kwenye JavaScript animation
Na function parameters huwa zina kazi ganiNi kifupisho (short hand operator)
Mfano a+=1 ni sawa na a=a+1
So ni njia ya kuandika kwa kifupi
Function parameter ni thamani(input value) ambazo function inapokea . Zinatuwezesha kupitisha thamani kwenye function kwa ajili ya kuzitumia ndani ya function na kufanya vitendo(ooerations) ndani.Na function parameters huwa zina kazi gani
function greet(name) {
console.log("Habari, " + name + "!");
}
greet("Juma");
// hii ita-print "Habari Juma"
//'name' ndo function parameter