Wakuu hii ipoje, Ushirikina au ndio dini?

Zainab j

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
1,816
Reaction score
2,368
Wakuu habari,

Mke wangu mdogo (nyumba ndogo) anafanya biashara sehemu maeneo ya wilaya ya Kinondoni, sasa huyo mwanamke nishamkataza mara kibao kwenda huko kwa Mwamposa. Maana yupo tayari afunge biashara aende huko kwa huyo nabii wao. Majukumu ya watoto hayupo makini nayo, yeye Mwamposa, Mwamposa na yeye huna lakumwambia kwakweli.

Cha kuchekesha juzi usiku nimekuta mchanga ndani umewekwa kwenye mfuko, mimi nikishangaa sana nakujiuliza nini hiki sasa?

Basi alivyorudi nikamuuliza vipi mbona nimekuta mchanga kwenye mfuko ndani kama umechotwa sehemu (maana una vimajani majani). Basi akanijibu eti ameuchota kwenye eneo lake la biashara na aliupeleka kwa Mwamposa hili uombewe, then akaumwage pale sehemu yake ya biashara.

Kwahiyo umeshaombewa tayari, anasubiria usiku akaumwage pale sehemu anayofanyia biashara.
Aisee, niliumia nafsi yangu sana, jamani huu sasa si sawa na ushirikina kabisa kabisa.

Mnavyowaponda waganga wa kienyeji, mbona haya pia kama mambo ya kichawi na ya kijini, ukiona mtu anaagiza uchote mchanga sehemu ukaombewe, au nguo ya mtu aliepotea ikaombewe, hayo mambo ya kijini na mashetani ndio wana masharti hayo.

Nahisi hawa wanaojiita manabii wanatumia majini kwenye mambo yao kwa 90%.
 
Wakuu habari,

Mke wangu mdogo (nyumba ndogo) anafanya biashara sehemu maeneo ya wilaya ya Kinondoni, sasa huyo mwanamke nishamkataza mara kibao kwenda huko kwa Mwamposa. Maana yupo tayari afunge biashara aende huko kwa huyo nabii
Ktk ukristo hivyo vitu vipo. Hata ukichukua maji wewe kwa imani ukayaombea yanageuka kuwa damu ya Yesu ukimwagia mwenye mapepo lazima yatoke.
 
Wakuu habari,

Mke wangu mdogo (nyumba ndogo) anafanya biashara sehemu maeneo ya wilaya ya Kinondoni, sasa huyo mwanamke nishamkataza mara kibao kwenda huko kwa Mwamposa. Maana yupo tayari afunge biashara aende huko kwa huyo nabii wao. Majukumu ya watoto hayupo makini nayo, yeye Mwamposa, Mwamposa na yeye huna lakumwambia kwakweli.

Cha kuchekesha juzi usiku nimekuta mchanga ndani umewekwa kwenye mfuko, mimi nikishangaa sana nakujiuliza nini hiki sasa?

Basi alivyorudi nikamuuliza vipi mbona nimekuta mchanga kwenye mfuko ndani kama umechotwa sehemu (maana una vimajani majani). Basi akanijibu eti ameuchota kwenye eneo lake la biashara na aliupeleka kwa Mwamposa hili uombewe, then akaumwage pale sehemu yake ya biashara.

Kwahiyo umeshaombewa tayari, anasubiria usiku akaumwage pale sehemu anayofanyia biashara.
Aisee, niliumia nafsi yangu sana, jamani huu sasa si sawa na ushirikina kabisa kabisa.

Mnavyowaponda waganga wa kienyeji, mbona haya pia kama mambo ya kichawi na ya kijini, ukiona mtu anaagiza uchote mchanga sehemu ukaombewe, au nguo ya mtu aliepotea ikaombewe, hayo mambo ya kijini na mashetani ndio wana masharti hayo.

Nahisi hawa wanaojiita manabii wanatumia majini kwenye mambo yao kwa 90%.
Usishangae hilo mkuu. We shangaa nyumba ndogo ambaye siyo mke wako halali anasali kwa Mwamposa kwa madai ameokoka. Hilo ndilo linatakiwa likufikirishe sana
 
Wakuu habari,

Mke wangu mdogo (nyumba ndogo) anafanya biashara sehemu maeneo ya wilaya ya Kinondoni, sasa huyo mwanamke nishamkataza mara kibao kwenda huko kwa Mwamposa. Maana yupo tayari afunge biashara aende huko kwa huyo nabii wao. Majukumu ya watoto hayupo makini nayo, yeye Mwamposa, Mwamposa na yeye huna lakumwambia kwakweli.

Cha kuchekesha juzi usiku nimekuta mchanga ndani umewekwa kwenye mfuko, mimi nikishangaa sana nakujiuliza nini hiki sasa?

Basi alivyorudi nikamuuliza vipi mbona nimekuta mchanga kwenye mfuko ndani kama umechotwa sehemu (maana una vimajani majani). Basi akanijibu eti ameuchota kwenye eneo lake la biashara na aliupeleka kwa Mwamposa hili uombewe, then akaumwage pale sehemu yake ya biashara.

Kwahiyo umeshaombewa tayari, anasubiria usiku akaumwage pale sehemu anayofanyia biashara.
Aisee, niliumia nafsi yangu sana, jamani huu sasa si sawa na ushirikina kabisa kabisa.

Mnavyowaponda waganga wa kienyeji, mbona haya pia kama mambo ya kichawi na ya kijini, ukiona mtu anaagiza uchote mchanga sehemu ukaombewe, au nguo ya mtu aliepotea ikaombewe, hayo mambo ya kijini na mashetani ndio wana masharti hayo.

Nahisi hawa wanaojiita manabii wanatumia majini kwenye mambo yao kwa 90%.
Mtoa mada wewe ndio mshiriki wa namba moja wa pili ni huyo nyumba ndogo yako. Wewe usharogwa ndoa maana hujui chochote. Rudi kwa mkeo yeye hana mambo hayo. Yaani mtu kashakuchotea mchanga bado to hujui. Mtoa mada usharogwa saaana
 
Ktk ukristo hivyo vitu vipo. Hata ukichukua maji wewe kwa imani ukayaombea yanageuka kuwa damu ya Yesu ukimwagia mwenye mapepo lazima yatoke.
Kwamba inakuwa damu halisi ama😂😂😂dini kweli ni uwendaazimu. ukristo naanza kuamini unawalakini sana
 
Aisee.
Screenshot_20220906-120949.jpg
Screenshot_20220906-121027.jpg
Screenshot_20220906-121112.jpg
 
Wakuu habari,

Mke wangu mdogo (nyumba ndogo) anafanya biashara sehemu maeneo ya wilaya ya Kinondoni, sasa huyo mwanamke nishamkataza mara kibao kwenda huko kwa Mwamposa. Maana yupo tayari afunge biashara aende huko kwa huyo nabii wao. Majukumu ya watoto hayupo makini nayo, yeye Mwamposa, Mwamposa na yeye huna lakumwambia kwakweli.

Cha kuchekesha juzi usiku nimekuta mchanga ndani umewekwa kwenye mfuko, mimi nikishangaa sana nakujiuliza nini hiki sasa?

Basi alivyorudi nikamuuliza vipi mbona nimekuta mchanga kwenye mfuko ndani kama umechotwa sehemu (maana una vimajani majani). Basi akanijibu eti ameuchota kwenye eneo lake la biashara na aliupeleka kwa Mwamposa hili uombewe, then akaumwage pale sehemu yake ya biashara.

Kwahiyo umeshaombewa tayari, anasubiria usiku akaumwage pale sehemu anayofanyia biashara.
Aisee, niliumia nafsi yangu sana, jamani huu sasa si sawa na ushirikina kabisa kabisa.

Mnavyowaponda waganga wa kienyeji, mbona haya pia kama mambo ya kichawi na ya kijini, ukiona mtu anaagiza uchote mchanga sehemu ukaombewe, au nguo ya mtu aliepotea ikaombewe, hayo mambo ya kijini na mashetani ndio wana masharti hayo.

Nahisi hawa wanaojiita manabii wanatumia majini kwenye mambo yao kwa 90%.
Nashauri endelea kuwa na subra tu siku za mbeleni utakuja kufungua Uzi mwingine tofauti na huu
 
Hii imekaa ki imani zaidi lakini hatakiwi kusahau familia yake.
 
Mambo yote ya Mungu ukiyatafuri kwa upande wa kishetani yanaendenda na ushirikina,shetani hakuumba kitu chochote isipokuwa anatumia vitu vilevile vilivyoumbwa na Mungu kwa kuvibadilisha.

Kipindi cha Musa, Musa alibadilisha fimbo kuwa nyoka, wachawi nao wakatengeneza nyoka, Mungu anasema usizini,shetani anasema zini.
 
Yesu alitemea mate udongo na kutengeneza tope na kumpaka kipofu na akapona

Je huo pia ni ushirikina?
Haya ni mambo ya kiroho , ukiyachambua physical hauto ambulia kitu
 
Back
Top Bottom