Mkuu kama hujui pa kuanzia.. Nenda hata westerwelle haus Arusha, huwa wana events na programs za vijana. Huko unaweza kukutana na watu wanaofanya vitu au tu kupata skills set, at least itakisaidia
Kwa DSM kuna empower limited nao huwa wana programs za vijana lakini sina uhakika kama wana reach hadi arusha..
Kama hauna hata wazo, jiunge kwenye incubation zozote kama hizo, usijali kama wao wanapiga pesa ila cha msingi, pata exposure and skills
Option nyingine ni ya volunteering na internships, kwa Arusha kuna kampuni za tours nyingi, unaweza kujitolea maana ni rahisi kupata kazi kazini ila si ukiwa nje ya mfumo..
Mungu akutangulie mkuu