Wakuu hata kazi ya bure hamna?

Wakuu hata kazi ya bure hamna?

Huyo ni mmoja kati ya 30,000,000 wenye msoto km wake siku hizi hukuti Bibi anafagia Ofisi zamani enzi hizo hadi kufagia barabara zilikua kazi za wabibi siku hizi mpaka kuzoa Taka Taka ni kazi za vijana tena wenye DEGREE zao na GPA za kutisha 4.2 mpaka 4.4, weka DEGREE kabatini twende tukakate Majani ya Ng'ombe tutauza maziwa


Hizo kazi zilibidi kufanywa na mashine maana zinaharibu Afya za watu
 
Nakuonea imani ndugu yangu. Sina msaada lakini natamani wadau wenye uwezo kwa sasa wakusaidie.

Hakuna kitu kigumu kama kuamka asubuhi na huna pa kwenda.
 
Kuuza barafu shule ya msingi uko tayari?
 
Back
Top Bottom