Sasa mpaka unapata degree hata commucation skills huna? Kazi kwelikweli.wakuu nina degree ya Accounting and Finance nipo Arusha jinsia ni mwanaume kukaa home kunachosha kama kuna mtu ana sehemu anataka hata mtu wa kumbebea mafile Arusha mimi nipo
Achana na hizo degree za kukariri notes, chagua kazi uipendayo uanze kutafuta ujuzi wake, kazi inayoendana na maisha yetu ya kila siku, jichanganye na vijana wa rika lakowakuu nina degree ya Accounting and Finance nipo Arusha jinsia ni mwanaume kukaa home kunachosha kama kuna mtu ana sehemu anataka hata mtu wa kumbebea mafile Arusha mimi nipo
😂 mtaji umempa..?Fungua hata kibanda cha M pesa utatoboa
Mkuu Upo Serious Nikupe KAZI ya BURE?wakuu nina degree ya Accounting and Finance nipo Arusha jinsia ni mwanaume kukaa home kunachosha kama kuna mtu ana sehemu anataka hata mtu wa kumbebea mafile Arusha mimi nipo
Angekuwa na lengo hilo hata kale kaboom kangefaa kuanzishia mtaji😂 mtaji umempa..?
Ndo hapo sasa😂 mtaji umempa..?
mtajiFungua hata kibanda cha M pesa utatoboa
sana mkuuComment zinasikitisha.
AmenMungu akakufungulie njia zako kaka,upate riziki,, AMINA