Wakuu hapa nachomoka vipi

Wakuu hapa nachomoka vipi

Duh! wewe ndio utakua na jibu la kitoto yaani mwanamke akute chupi ndani umwambie hujui imetokea wapi labda aliiweka yeye!!!? Lol haya mambo tuachie sie wataalam wa kuvusha (japo tushastaafu)
Sawa kaka nakukubali.
 
Duuh.
Mimi ex wangu aliacha chupi yake, hadi sasa ipo ndani nimeitunza.
Nawaza niitupe (ila naona kama sio vizuri).
Au nimwambie aje achukue.

Nahisi siku moja huyu wa sasa.
 
Kwani Wewe Unaiona Ni Ya Nani??Kama Mbuzi Anavaaga Chupi Basi Ni Ya Mbuzi
 
Mwambie umepewa na mganga wako ili mambo yako ya kazini yakae sawa.
 
Kama ulivyoingia tu mkuu,
Kamsikilize Shaggy, It wasn't me
Mwanaume ni kukataa tu hata ikiwa red-handed
 
Tafadhali usiiguse kabisaa, kama umefanya hvo haraka sana nenda dukani kanunue udi chomea chumbani alafu ufunge mlango , humo ndani asiingie mtu mpaka siku tatu, vinginevyo nimekwishaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom