Wakuu hapa nachomoka vipi

Wakuu hapa nachomoka vipi

Mwambie nilitaka kukufanyia surprise, ila kwakuwa umeiyona basi jaribu kama inakutosha!
 
😳😳😳 kumbe sio yako mama watoto mi nmekuta kunguru ananing'inia nayo kwenye kamba hapo, nikaona niingize ndani, dah.... Basi irudishe kwenye kamba mpenzi wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom