Wakuu hapa kuna mimba?

Ungeongeza siku mbili mbele kidogo ukakutana nae nauhakika ungemleta Boy .Na Ikitokea kaja ni Boy tumpe jina la Tundu Lisu..
Ila naona ni ka Binti Utamchagulia Jina baba yake ..😊😊🤣🤣
BTW Hiyo imenasa
 
Hedhi inaweza ikakoma hata miezi mitatu mfululizo na baadae ikaendelea.kapime
 
Ngoja nihakikishe kama ni hivyo
 
Mlete nimwangalie kama mimba ipo au laah
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri mkuu, naona kabisa tayari.
 
Ungeongeza siku mbili mbele kidogo ukakutana nae nauhakika ungemleta Boy .Na Ikitokea kaja ni Boy tumpe jina la Tundu Lisu..
Ila naona ni ka Binti Utamchagulia Jina baba yake ..😊😊🤣🤣
BTW Hiyo imenasa
Tundu lisu tena😂

Jina lipo tena zuri litaanza na A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…