Wakuu hapa kuna mimba?

Hazihesabiwi hivyo,tunahesabu kuanzia tarehe ya mwisho aliyoanza hedhi yake ambayo Ni tarehe 22,mpaka tarehe 1&2 waliyokutana ilikuwa tayari Ni siku ya 11&12 toka hedhi ya mwisho,ana 90% ya kuwa na mimba Tena mtoto wa kike🤓🤓🤓🤓🤓🤓mkuu Half american msitoe hiyo mimba kaacheni ka babygirl kaishi!!
 
Kama n mimba haitolewi mkuu, zingatia neno kama.
 
Kwa maana hio tare 2 alikua danger. Atakua nayo.
 
tarehe 2 April ilikuwa ni siku ya 11 hapo bado siku tatu yai litoke kwenye ovary mbegu za mwanaume hasa X zinaweza kuvumilia Hadi masaa 72 au hadi siku 5 kabisa zikiwa kwenye mwili wa mwanamke na kwa muda uwezekano wa mimba upo tena pisi kali itazaliwa
 
Nenda duka la madawa kanunue kipimo kujiondoa maswali mcheki kojo.

Hapa utajaza sever, matumboya kiba mama yana mabadiliko ya kila sampuri.

Waweza kudhani imo kumbe katika kulenga shabaha uli washout!
 
Mbona pisi kali@Half american kama Wewe Ni mkristo niambie aunt yake niandae Jina kabisa!
 
Nenda duka la madawa kanunue kipimo kujiondoa maswali mcheki kojo.

Hapa utajaza sever, matumboya kiba mama yana mabadiliko ya kila sampuri.

Waweza kudhani imo kumbe katika kulenga shabaha uli washout!
Sawa mkuu nitafanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…