Wakuu hapa kuna mimba?

Hakuna mbinu zaidi ya zile pesa ulizokuwa unakula bata hovyo hovyo kuziwekeza kwa kijacho anaekuja.
Siku hizi mambo ya uzazi yamekuwa mengi so muda wa kujifungua ukifika hakikisha unakibunda cha maana usije kutia huruma.
Kibunda cha maana ndio kama kiasi gani mkuu haya ndio mambo nayotamani kujua.
 
We unataka au hutaki?
Tuanzie hapo kwanza ili tujue aina ya ushauri unaokustahili.
 
Kwani wewe hofu yako ni nini!!,huyo si ni mkeo!!,,tulia, matokeo yoyote kubaliana nayo,usikimbie majukumu yako, maana kuanza kupendana hadi kukutana kimwili, sidhani kama hukujua matokeo yake!!
Bado sio mke wangu ila tunapendana, siwezi kimbia majukumu mkuu.
 
Jiandae tu kulea muzee ulivo kua unapewa PENZI MOTOMOTO ulitegemea nn??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…