Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,546
- 6,499
Ndugu nina jambo kidogo naomba kushare nanyi.
Picha inajieleza.
Na kwa taarifa fupi tu ni kwamba nilifika ofisini kwao. Nikaambiwa kujaza form ni elfu kumi ili kujiunga kama mtoa huduma kwenye hiyo event na wakati nipo hapo zilikuwa zinashuka pisi za maana ili kushiriki katika zoez hilo kwa bahati mbaya au nzuri mimi sikutembea na hela but form nilijaza kwa maelewano kuwa nitawatumia hiyo pesa.
Ila swali nalojiuliza iweje watu sabini wote washiriki kwenye zoez moja na kila mtu kupata ela yake??
Au kuna kupigwa hapa ebu mwenye uzoefu na shughuli hizi anisaidie kidogo nisije nikatoa pesa yangu sadaka kizembe.

.