Wakusoma

Wakusoma

Bifu Exelent vs Wa kusoma dah! kwel nyie mnajuana hata kwa sura? kama vp lipotezeeni bana!
 
Afadhali excellent umenisaidia!ndo zake kuchafua hali ya hewa huku.kama hapendi jokes aende jukwaa linalomfaa!sh¥*¤* zake!
huyu mbibi anazingua balaa
 
mkuu huyo mtu sijui anachotaka

kaka hata mie sasa nimekulewa kwann umemfunguli thread.wakusoma ana kihere here kama kuku anaelalia.kosa aone kichaka anabanwa na tumbo la kuhara huo upupu wake.
 
Wakusoma haya ndo mambo unayoyafanya humu.
458376.jpg

Mmmmmh?!
 
Mtanifanya niachane na JF, maana naona wote mnanishambulia. Elimu kwenu tatizo.
 
Mtanifanya niachane na JF, maana naona wote mnanishambulia. Elimu kwenu tatizo.
Nilikuambia utaona JF chungu,kama huna la kupost wewe usidandie nyuzi za watu humu
 
Mtanifanya niachane na JF, maana naona wote mnanishambulia. Elimu kwenu tatizo.[/QUOTE. Sio uachana na JF, achana na huo ujinga wako uone km watu utshambuliwa! Ww si ulisema huogopi kupashwa!? Ujue km umekera. Na badoooo.......
 
kaka hata mie sasa nimekulewa kwann umemfunguli thread.wakusoma ana kihere here kama kuku anaelalia.kosa aone kichaka anabanwa na tumbo la kuhara huo upupu wake.
huyu nilishavumilia huko mwanzo napotezea,dawa yake ni kumpa live mpaka anyamaze kama mtu aliyedungwa sindano ya sementi
 
Back
Top Bottom