Wakurya ni mwendo wa mimba tu

Wakurya ni mwendo wa mimba tu

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,852
Wakurya tumekuwa tunyanyasika sana tunapoenda kutambulisha na wachumba zetu wa makabila tofauti hadi kufikia kukataliwa kuoa kwa sababu ya kabila letu.

Imenitokea mimi na ndugu zangu wengi kwa unyanyasaji huu natoa wito kwa wakurya wote kupiga mimba kwanza kabla ya kwenda kutambulishwa.

Hatujawatuma watoto wenu watupende.
 
Unazaliwa kwenye ukoo wa vita na hasira

Bora uzaliwe kwenye koo za pesa
 
Wakurya tumekuwa tunyanyasika sana tunapoenda kutambulisha na wachumba zetu wa makabila tofauti hadi kufikia kukataliwa kuoa kwa sababu ya kabila letu, imenitokea mimi na ndugu zangu wengi kwa unyanyasaji huu natoa wito kwa wakurya wote kupiga mimba kwanza kabla ya kwenda kutambulishwa,
Hatujawatuma watoto wenu watupende.

True mura wakibosho walinikatalia kwanza,nikaweka mimba wife yuko home na wamenikubali kweli,
Na kuna jamaa yangu juzi tumempeleka marangu wamemtolea nje.
 
Ukiona kabeba mimba ujue ametaka na amekupenda kama hataki kubeba mimba utaishia kupigika wewe.
 
Unazaliwa kwenye ukoo wa vita na hasira

Bora uzaliwe kwenye koo za pesa
We unafikiri koo za wakurya hatuna pesa!aka sogea pale mwanza usikie habari ya wakurya au fika tarime uone mambo.
 
Wakurya tumekuwa tunyanyasika sana tunapoenda kutambulisha na wachumba zetu wa makabila tofauti hadi kufikia kukataliwa kuoa kwa sababu ya kabila letu, imenitokea mimi na ndugu zangu wengi kwa unyanyasaji huu natoa wito kwa wakurya wote kupiga mimba kwanza kabla ya kwenda kutambulishwa,
Hatujawatuma watoto wenu watupende.

Hahaaa! Acheni kuremba mura wazalisheni kwanza ili wawape bure
 
True mura wakibosho walinikatalia kwanza,nikaweka mimba wife yuko home na wamenikubali kweli,
Na kuna jamaa yangu juzi tumempeleka marangu wamemtolea nje.

Cha kushangaza mnavokimbilia uchagani sasa! Ni ili ku punguza makali ya rangi au?
 
Back
Top Bottom