Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,773
- 3,160
Alaf ivi vyuo vingine havina wasomi zaid ya UDSM?
Inatengenezwa serikali ya mazombi... Hivi hawawezi Kataa hizo teuzi...Magu anajenga himaya yake yenye watu 100% wanaomuogopa na wapo kwa ajili ya kufanya apendavyo mtukufu bila kuhoji
Obviously ni kweli mara nyingi huwa hivyo ili aonekane kwamba yeye ni mwema au nzuri kwa wananchi.Angalia suala la machinga Mwanza au suala la magereza kuwapatia fedha za kujenga makazi.Mheshimiwa anapenda sifa binafsi directly zimfikie mwenyewe badala ya kutumia serikali kama taasisi yenye wataalamu anuai. Ingekuaje kama JK angetaka sifa si angemtumbua /angempiga chini kwa kuuza nyumba za serikali wakati alipokuwa waziri awamu ya tatu? au angemvizia kwenye kauli ya kuwaambia wakazi wa Kigamboni wapige mbizi? Ama angemmwaga kwa wizara anayosimamia kununua boti mbovu ya Dar-Bagamoyo? Au alipojaribu kuvunja jengo la Tanesco!? (Hiyo nia bado anayo)Ili Rais ajijenge kisiasa, anasubiri wateule wake wafanye maamuzi halafu yeye anatafuta attention kwa wananchi kwa kutofautiana nao.
Mkuu wangeisema hiyo kua ndo sababu ya kutumbuliwa kwake ingekua jambo zuri kuliko huku kuviziana aisee.yani mnamtegea akijichanganya tuu mnamalizaaMramba alikuwa anajilipa bonus milioni 60 kila mwaka wakati Shirika linajiendesha kwa hasara!!!
Ndo tulipo fika mkuuu,si unajua tena mambo ya kucheza na jukwaaaIli Rais ajijenge kisiasa, anasubiri wateule wake wafanye maamuzi halafu yeye anatafuta attention kwa wananchi kwa kutofautiana nao.
Ndio maana wanaondolewa kwa sababu wamekosa ubunifu, kupandisha bei ya umeme ingekuwa ni mwarobaini basi madeni yangeshaisha maana kila mwaka tunapandisha!!!!Mie ni mshabiki wa mh Magufuri na serikali yake na nimekuwa namtetea sana lakini kwa hili la Tanesco lazima lielezwe vizuri ili watendaji wawe na maamuzi la sivyo huenda utendaji na Ubunifu ukawa ovyo sana.
Kwa hiki kilichomtokea Mramba wa Tanesco ni dhahiri kuwa wakurugenzi wakuu walioteuliwa Enzi za kikwete wajiandae kuondolewa nafsi zao. Mchackato wa umeme umeanza mda mrefu na ilikuwa public.
Sheria inayolinda na kuelekeza mchakato huo ipo. Mkurugenzi lazima amepitia bodi ya wakurugenzi kuanzisha mchakato.Bodi ya wakurugenzi wakiisharidhia ndo Tanseco wanapeleka EWURA.
Hoja ya kupandisha umeme imeanza mda mrefu, je nikwanini serikali kupitia Waziri haikuingia mapema kupinga na kupitia reporti ya TANESCO?? Je wao hawakua nchini na hawakujua juu ya huu mchakato? Sababu zilizotolewa na Waziri na Mh Rais kutengua nafasi ya Mramba hazina mashiko na zinaonyesha walikuwa wanamvizia nakumutafutai sababu fulanifulani ili wamuondoe.
Mie ningemuelewa mh Rais kama angevunja bodi ya Tanesco na kumuondoa Waziri kwa Kushindwa kuintervene mapema, otherwise ni hali ya uonevu na sidhani kwa wasomi na wanaoelewa mambo watakubaliana na hili.
Kama anamuondoa kwa sababu ya kuingiz mkataba na symbion mwezi Dec 2015 kwa ajli ya kuzalisha umeme kwa miaka 20 wakati hata Mh rais alikuwa hajaunda Baraza la Mawaziri hapo aseme na wote tutakubali.
Kutokana na niliyeleza hapo juu ni vizuri wakurugenzi wakuu wa Mashirika makubwa nchini kama PPF,LPF,NHC wajiandae kuondoka.. wasidhani wako smart ila bado kuna kakitu kanatafutwa.
Mie ni mshabiki wa mh Magufuri na serikali yake na nimekuwa namtetea sana lakini kwa hili la Tanesco lazima lielezwe vizuri ili watendaji wawe na maamuzi la sivyo huenda utendaji na Ubunifu ukawa ovyo sana.
Mchechu na Proff.Ndulu you are the Next?
Mkuu usimsemee mhusika kwamba hakuna anayejua uadilifu wa Mramba, watu wote wangejua ni muadilifu kwa kiwango unachotaka kutuaminisha bac kwa sasa wangepaza sauti kwa pamoja kupinga utumbuliwaji wake. Kwako unaweza ukawa unajua mazuri yake tu kumbe nyuma ya pazia kuna vitu anafanya ndivyo sivyo ila ww hujui .Usimwamin binadam kwa mwonekano wa njeHakuna asiyejua uadilifu wa Mramba
Kikwete angeanzaje kumtumbua wakati huo huo yeye akiwa macho ameshuhudia mikataba mibovu kuwahi kutokea ktk historia ya nchi yetu ikisainiwa na nchi ikihujumiwa mchana kweupe. Vitu vyote kama ESCROW, SYIMBION, IPTL, RICHMOND etc hayo ni baadhi tu. So ilikuwa ngumu kwa rais aliyepita kuwawajibisha watendaji wake cause kwa namna moja ama nyingine na yy alihusika ndio maana aliweka pamba masikion kelele zilivyokuwa zikipigwa kuhusiana na mikataba hiyo yote yakifisadiObviously ni kweli mara nyingi huwa hivyo ili aonekane kwamba yeye ni mwema au nzuri kwa wananchi.Angalia suala la machinga Mwanza au suala la magereza kuwapatia fedha za kujenga makazi.Mheshimiwa anapenda sifa binafsi directly zimfikie mwenyewe badala ya kutumia serikali kama taasisi yenye wataalamu anuai. Ingekuaje kama JK angetaka sifa si angemtumbua /angempiga chini kwa kuuza nyumba za serikali wakati alipokuwa waziri awamu ya tatu? au angemvizia kwenye kauli ya kuwaambia wakazi wa Kigamboni wapige mbizi? Ama angemmwaga kwa wizara anayosimamia kununua boti mbovu ya Dar-Bagamoyo? Au alipojaribu kuvunja jengo la Tanesco!? (Hiyo nia bado anayo)
Angefanya hivyo leo hii asingekuwa kiongozi.
Kuna maamuzi mengine yanahitaji maelekezo ndio maana huitaji kupitia ngazi tofauti ili kung'amua hitilafu na makosa tofauti.Hili nalo lilikuwa mojawapo.
Kwamba kila Mtanzania anamjua Mramba?Hakuna asiyejua uadilifu wa Mramba