Naona unazidi kuchanganyikiwa....Kifutu.Unapenda sana kutukanwa inavyoonyesha...
Mahakama imeshatoa hukumu na mwanaaheria mkuu wa serikali ameeleza nia ya serikali kukata rufaa. Tusubiri tuone hii sinema inaishaje!
ayo ni mawazo yako mkuuNimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu masuala ya Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi hasa baada ya Mahakama kutoa tafsiri ya sheria za Uchaguzi.
Pamoja na Mahakama kutoa tafsiri ya sheria ya Uchaguzi lakini naona uwezekano wa Wakurugenzi kuendelea kusimamia Uchaguzi itakuwa pale pale kwasababu wabunge wote waliotangazwa na hao Wakurugenzi wako Bungeni na wanaendelea na majukumu yao ya kibunge kwa mujibu wa sheria na inaoneka sheria ni halali na ndiyo maana hakuna hata mmoja aliyesema kuwa si Mbunge halali.
Hizo kelele na harakati zinazoendelea kwenye mitandao naona Sasa na tu kutwanga pilipili mwishowe ni machozi tu.
Hao Wakurugenzi wataendelea kusimamia Uchaguzi mkuu na chaguzi zingine ndogo.na Kama hawastahili kusimamia Uchaguzi basi wabunge wote watangaze kujiuzulu maana hawako kihali ili wasimamizi wengine wateuliwe na Uchaguzi mwingine ufanyike.... kinyume na hapo Ma DED wataendelea kusimamia Uchaguzi Kama ilivyokuwa huko nyuma.
Tusubiri rufaa ya serikali ya ccm.Kama hiyo hukumu imekidhi vigezo
Mbona hautumii akili.zaidi ya comands?Hajalishi wewe Ni mwanasheia au siyo mwanasheria....DED watabaki kuwa wasimamizi wa Uchaguzi.
hata kama wafuatao watateuliwa kuwa kwenye NEC
mbowe, mwenyekiti
lissu, Mkurugenzi wa uchaguzi
wwnyeviti wote wa wilaya wa chadema wakawa wasimamizi was lmajimbo,
ccm itashinda kwa kimbunga Kenneth.
sitachagua chadema tena kwa sababu huwa wananunulika.
Hii ndiyo shida ya waganga wa kienyeji kama wewe!!!!hata kama wafuatao watateuliwa kuwa kwenye NEC
mbowe, mwenyekiti
lissu, Mkurugenzi wa uchaguzi
wwnyeviti wote wa wilaya wa chadema wakawa wasimamizi was lmajimbo,
ccm itashinda kwa kimbunga Kenneth.
sitachagua chadema tena kwa sababu huwa wananunulika.