Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

Nakumbuka nilikuwa mpole tu lkn sionewi na mwanamkee, ata akiwa bonge na mkubwaje mwanamke napigana nae lkn staki walimu wajue naenda kupigana hukoo viwanjani, lkn mwanaume ata akiwa mdogo vp sithubutu ata kurusha ngumi niliwaogopa balaa

Sitasahau darasa la pili nilikutana namvuta bangi mmoja akanikalisha chini huku akinisihi nisiogope kisha kuanza kuomba nimpe changu na yeye anipe chakee nikamwambia mpaka tuende hospital vikakatwee na kipindi hicho nilitaman sana kuzaliwa mwanaumee nikaenda kusema nyumbani wakacheka kuzimia lkn sijuelewa, nilikuja kuelewa alimaanisha nini nikiwa form one hahahahaaa

Sitasahau jamani nilikuwaga naakili primary lkn pacha wangu hajui ata kutofautisha daftar la kiswahili na english au sayancee hahahaa nilikuwa naumia sana akichapwa au akipewa adhabu nzitoo

Sitasahau kakaangu alimaliza la saba na sisi kukataa kwenda chekechea eti na sisi tumemaliza bushiii hahaaa

Sitasahau zile msituumizieeee inapochezwa mechi ya la sita na la sabaa au shule tofaut na vingine vingiiiii
 
Nakumbuka wakati wa kuvaa nguo za shule nasahau kuvua skert ya kushindia nikifika njian najikuta nimevaa skirt mbili navua nachimbia shambani kwa watu nikitoka napitia siku nikasahau nilikochimbia ilikuja kuonekana msimu wa kulima ikiwa imeozaa hahahaaa
 
Teh

Kuna jamaa nlmwambia nionyeshe faga soni ilipo alikaa mpaka jioni

Ni jamaa angu sana now
 
Nakumbuka primary tulikua tunasoma Mimi na Dada yangu.... Tulikua tunatoka saa kumi hatukuwa tumelipiwa ela ya lunch shuleni Kuna madam mmoja Mungu amlinde akatuambia mda wa lunch ukifika tuwe tunakula freee Kama vile tumelipa Tena na majina yetu yakasndikwa kwenye daftari la waliolipa ela ya chakula.... Kuna baadhi ya walimu Ni ma heaven sent etiiii
 
Kutajiana majina yaliyojificha kwenye atlas
.

Dah aisee, sijui hata hawa broiler wanajua hata atlas ni nini
Umenikumbusha mbali na hii kitu aisee!


Nilikuwa bingwa wa kutoroka kazi za nje hasa za kilimo na kufyatua tofali.
 
Dah dunia ni ndogo!!! Alifundishaga pia na Meru Primary, Na yuko Arusha bado ila kwa sasa nahisi anaishi kisongo sina uhakika sana though
 
Hii ilitufanya tuwe na uwezo wa kutambua miji mikuu ya kila nchi na kufaham kila nchi iko upande upi wa dunia.
Leo hii kuna mwanafunzi yuko mwaka wa nne chuo, ila ukimwambia burma ni nchi jirani na ipi, hajui hata iko wapi.
 
Nakumbuka nilikua siingii darasana naenda kushinda mtoni mpka masomo yanaisha jioni narud hom kama nimetoka shule ilikua karibu na mitihani mwez wa tano ila nikaja nikashika nafasi ya tatu likizo mwez wa 6
 
Majina kwenye Atlas,,,tumetoka mbali jmn

Kutajiana majina yaliyojificha kwenye atlas
.

Dah aisee, sijui hata hawa broiler wanajua hata atlas ni nini

Hii I'd yako n kichekesho tosha

Nyela mumo dah nmecheka mm



huu mtindo wa kutaja maneno makubwa halafu watu wanakomaa kutafuta tumaandishi tudogo


Aisee umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka siku tuliyohangaika kutafuta URUSI. Yaani tulitokwa jasho maana sisi tulikuwa tunatafuta maandishi madogo kumbe yenyewe makubwaaa





Kusahau baiskeli shule
 
Jaman mi nakumbuka nlisoma shule flan ipo pale Kahama.. kuna siku nlichezea kichapo jaman mpk nkajikolea jaman
kisa tu nliongea kwa utan tukiwa mstarini kwamba mwalimu anachawa duh huwa siwez kabisa kusahau kitu hko naona ni kama jana tu nmefanyiwa jambo hlo!!
 
Daah... Darasa la sita nilijishaua kutaka kugerezea kwenye mtihani... Sikuwai jaribu na siku niliojaribu nilikamatwa hapohapo, nikapelekwa staff room... Nilichapwaaa. ... Sijarudia tena kubeba vitu kwenye mtihani

Nyingine tulikamatwa mimi na rafiki yangu tunachezeana
zile fimbo sintasahau... Tulichangiwa na walimu kuchapwa
 
 
Mlikuwa mnachezeanaje?

Unaweza kufafanua angalau kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…