Wakulima waandamana mkoani Kagera kwaajili ya kuwaombea msamaha wanasiasa ambao hawatambui mchango wa serikali katika sekta ya kilimo

Haaaa haaaa waandamanaji wapo karne ya 10 hawajui kama wanatumika.
Lakini mkuu, hivi hujasikia bajeti ya kilimo iligyoongezwa mwaka huu?, Ofisa ugani wote wamepewa usafiri just kama enzi za mwalimu,, tuwage na shukrani japo kiduchu jamani,, roho mbaya haijengi😁
 
ccm ni wajinga sana wanafikiri tanzania bado ya wapumbavu kama wao.
 
mageuz makubwa kwa wajinga wa lumumba
 
Hongereni Sana wakulima wa bukoba kwa kunga mkono harakati za mama,ila nasi tunaombi Kama kunawezekana fungua mikutano ya hadharani tuweze kukuonyesha tunakunga mkono.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi hii Dah nimepoteza
 
Nchi hizi za kiafrika hatufiki kokote
Kila mtu mnafiki, imagine mtu anatoka nyumbani kwenda kuandamana kupongeza jambo ambalo halipo wala halijawahi kuwepo

Alaf yote hayo yanafanywa kujibu mkosoaji mmoja wa Serikali
 
Saaa hii michezo ya kizamani ndo mnalileta karne hii. Yani Chalamila!! 😂😂😂
 
Hakuna Mhaya mjinga kiasi hicho,huyu Charamila kaenda kwenye mialo kaokota wanika dagaa na kuwapa alfu 5000 wajifanye wakalima.Mkulima gani wa Kagera hana matatizo?Watu wamelima kahawa unalazimishwa kupeleka kwenye chama cha ushirika na kununua kwa bei ndogo, wakati kuna watu kutoka Uganda wanatoa bei mzuri,watu wamelima vanilla,watu wanawatapeli selikali inaona,ndizi zinaozea mashambani amna soko,eti leo wakulima wa Kagera wameandamana,hakuna Mhaya mjinga kiasi hicho.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…