Wakulima na wafugaji kumuunga mkono Rais Samia kwenye uchaguzi mwaka 2025

Sure,
That's true mkuu,
Mashamba ambayo hayakulimwa 3 yrs ago leo hii yote yamelimwa kila mtu anahitaji shamba saivi na yamekua adimu na bei ni ghali mbaya sana tunahemishika sasa πŸ’
Saizi tafuta shamba uone jinsi ambavyo ni ghali kupata na bei zimepanda.

Kiufupi Mama amefanya Kilimo kiwe tumaini la watu kupatia mtaji tofauti na Miaka ya Mwendazake.

Kongole Kwa Samia na Bashe.
 
Saizi tafuta shamba uone jinsi ambavyo ni ghali kupata na bei zimepanda.

Kiufupi Mama amefanya Kilimo kiwe tumaini la watu kupatia mtaji tofauti na Miaka ya Mwendazake.

Kongole Kwa Samia na Bashe.
mimi naandika ujumbe huu niko shamba nimeshamsliza kulima kwangu, nikaona niongeze walau ekari walau 5 tu za kukodi nilime karanga na maharage leo ni siku ya nne nimeenda hadi milimani huko lakini sijafanikiwa mashamba yote yamelimwa....

This mama is taking us higher...
 
Wewe umekatazwa kuanza?
ata akina Moise katumbi na wenzie ilikua hivi hivi, mara mikutano ya ndani, mara workshop, mara seminar mara retreats south Africa kuja kuhamaki uchaguzi Jpili ijayo na hawajafanya kampeni mgombea wao hajulikani πŸ˜…πŸ’
 
Mwaka Jana nimenunua ekari 30,nimelima kadhaa na nimekodisha zingine.

Sababu kubwa ni kwamba uhakika wa bei ,mfano bei ya mahindi awamu ya Jiwe ilikuwa 30,000-40,000 hii ni hasara.

Bei ya mama Kwa Sasa ni Kati ya 60,000-100,000 hii ni bei nzuri Kwa mkulima inalipa.

On top of that Serikali ndio mnunuzi Mkuu na Mama ameweka malengo ya kununua Hadi tani mil.3 by 2030 ,mwaka huu wamenunua tani 500,000 Kwa bei ya 70,000-90,000/100kg bag kutoka tani 250,000 za Jiwe na Kwa bei za ajabu ajabu
 
I can confirm to you without fear of contradictions, kwamba hayupo mkulima nchi hii atachagua kitu ingine wakati wa uchaguzi zaidi ya CCM na Dr.Samia Suluhu Hassan....
Ni kweli kabisa maana nchi imeshakuwa ya kifalme tunajua hadi mrithi ajaye.
 
Ni aibu sana kuanza kampeni kabla ya muda
hiyo kampeni imefanywa wapi au imetangazwa lini kua imeanza au haijaanza πŸ’

kwahiyo maoni, mitazamo na dhamira za watu na makundi yao dhidi ya wanaodhani wanafaa kuongoza ndio kampeni?

Imekukeraeee?

Hiyo ilani iko wap πŸ’
 
Ni kweli kabisa maana nchi imeshakuwa ya kifalme tunajua hadi mrithi ajaye.
Utajua mwenyewe ila watu wanaangalia wamenufaikaje na awamu ya mama,hayo mengine ni ya Vijiweni kwenu.

Watu wengi wanapomzungumzia Samia wanakwepa kuzungumzia matokeo ya Utendaji kazi wake ila wanatafutiza vijisababu vya kijinga 😁😁

Angalia hata kwenye Ajira Samia utamlinganisha na Jiwe?
 
Yes,
Bei ya mazao imekua kivutio kikubwa sana kwa wakulima kujitutumua bila kujibakiza ktk kilimo....

Mbegu bora na mbolea imewapa hamasa na nguvu zaidi...

Eti from no where jamaa ata halieleweki lije kuwahadaa wakulima, thubutu πŸ’
 
halafu na wewe Gwallo saa zingine una utani mwingi sana na wakati mwingine uko unatafuna mahindi ya kuchoma au bisiπŸ˜…ambayo pia ni mahindi hapo bado bamia, nyanya chungu, hoho na karoti

Wakulima wa dar wanampongeza sana ndugu rais kwasababu wao huuza zaidi ya tani5 za mahindi ya kuchoma kila siku wanayolima wennyewe katika mabonde mbalimbali achilia mbali mahindi yanayotoka moro na pwani kwahiyo hakuna mahali wakulima wataacha kumpongeza hyu mama kwakweli....

Soko la Mahindi nafaka na Mahindi ya kuchoma na bisi ni pana kama kikosi cha yanga aise....
Mkuu Tlaatlaah labda wakulima wa Dar wanamwuunga mkono mama niambie soko la Mahindi lilipo...
 
😬😬😬😬,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…