abduel paul
Senior Member
- Nov 23, 2010
- 133
- 5
Kutoka kwenye nukuu ya katuni ya Kipanya, gazeti Mwananchi tarehe 16.08.11, katuni ya kipanya inaonekana ipo gizani, yani hakuna umeme, mafuta bei juu, hapa naongezea langu Maisha utadhani baadhi ya watanzania wamekuja kusalimia punde watarudi kwa! Inasema KUMBE WA KUJIVUA MAGAMBA YA UJINGA NA UMBUMBUMBU NI WANANCHI.