Wakuja mmeivuruga sana Dar,haifai tena.

Wakuja mmeivuruga sana Dar,haifai tena.

Naona umeyagundua hayo baada ya kuuza kajumba ka mbavu za mbwa ulikorithi kwa wazazi wako magomeni. Umefanya starehe hela zmeisha ndo akili zimekurudia! Utalijua jiji!!
 
Naona umeyagundua hayo baada ya kuuza kajumba ka mbavu za mbwa ulikorithi kwa wazazi wako magomeni. Umefanya starehe hela zmeisha ndo akili zimekurudia! Utalijua jiji!!

nalijua jiji hili kitambo sana mkuu hata kabla sijazishika pesa hadi sasa nazishika.Hata mie nilidhani kuwa na pesa Dar mji ntauona mzuri lakini nimegundua pesa sio kila kitu kwenye maisha.Labda wewe ndugu yangu mwenye pesa za mawazo na limited knowledge and education ndio unafikiri siku ukizipata mambo yote yatakwenda sawa na hata maji na umeme vitashuka kwako vyenyewe toka mbinguni! ila kwetu sie wengine tuliopata bahati ya kusoma na kwenda huko na huko duniani,we know that money isn't everything in life,BRAIN IS!
 
maisha unayotaka kuyaishi hapa duniani hayapo!! Pole sana.

yapo.nimeyaona mikoani na nayafuata.Eneo lako la hekari moja mbili,kashamba kako ka michungwa,trekta zako mbili zinakuingizia elfu sabini kwa siku kila moja,kisima chako,hewa nzuri,kaubaridi hivi,hakuna foleni ukienda kazini,majirani mnajuana na kushirikiana vizuri kwa vile mko wachache,mji msafi dah!nimefika Singida,Lushoto,Boma Ng'ombe Moshi,Kilosa,Tukuyu nimekuta haya maisha.Nawaonea wivu kweli wale jamaa na maisha yao.Yaani Tanzania yao ni tofauti na hii yetu sie wa mjini.dah!
 
Ukija mkoani njoo na jembe maana sie hatutumii akili kama wa Dar tunatumia ngumu, hatutaki mrundikano wa wazembe tafadhali mkaja kutuharibia vijiji
 
Lakini mbona wenzetu huko majuu wana miji mikubwa na bado imekaa vizuri na huduma muhimu zipo?Mbona Perth,Ontario na Helsinki ni kuzuri tu?mie nadhani ni wakati wa kujenga Dar nyingine nje ya Dar(yaani eneo kama Bagamoyo)ili kuongeza eneo la mji kwa mipango inayosimamiwa na si kusubiri population ifike critical point ndio muanze kuhangaika kama sasa barabara zinafumuliwa,nyumba zinabomolewa maji hayatoshi ni kuwatesa wananchi.umeme unakatika na hata ukiwepo maeneo mengi uko below 220 v yaani hata jokofu linawaka kwa shida.Benki unaingia saa saba unatoka saa kumi,hata ukitazama kijiografia Dar ina eneo dogo huku population kubwa kuliko mkoa mkubwa kama Moro.This is stupid.Tuchukue kipande toka mkoa wa pwani tujenge mji watu waende huko.Pia tuendeleze miji mingine.China wamefanikiwa sana kwenye hili.Nilikwenda Windhoek Namibia.yaani hadi nawaonea wivu wale jamaa.Wako wachache nchi yao hawazidi milioni tano lakini wamepangilia mji wao vizuri.Kuna mtu katoa takwimu hapo inayoonyesha Dar ni jiji namba 6 kwa kasi ya ongezeko la watu Afrika na bado tumo ndani ya kamji kale kale ka Nyerere na mzee Sykes!Hili ni janga!Nautangaza mji wa Dar kuwa janga la kitaifa! na lawama zote nazielekeza serikalini!leo tunatania humu lakini hali ikiachwa hivi,miaka kumi ijayo mtamkumbuka sana kerubi afunikaye nawaambieni!
 
Last edited by a moderator:
Ukija mkoani njoo na jembe maana sie hatutumii akili kama wa Dar tunatumia ngumu, hatutaki mrundikano wa wazembe tafadhali mkaja kutuharibia vijiji

tutabanana huko huko mbona nyie mnakuja na kutuharibia Dar yetu?sasa mtapata shockwaves zake na sie tunakuja huko!nakuja na trekta na pesa zangu za kutosha na bastola yangu.mtapata ajira nikifika huko.ole wenu mkatae kuniuzia shamba!
 
Mbona mmekaa kimya baada ya kutumia ID yangu ya zamani?kwi kwi kwii kwiiii!poleni.
 
Ni kweli usemayo ndugu.mji umejaa sana.ukienda kkoo ni vurugu hamna pa kukanyaga.bugurun ndo acha kabsa ni watu ambao wanazurura tu.yote tisa kumi nenda mbagala ndo utajua kuwa mji umevamiwa yaan kuna watu balaa ni kwa sababu kule maisha ni cheap chumba buku 3 japo hakina dirisha wala mlango yan pagale.ila unaposema mji una kero kwa kujaa watu si kila eneo
hebu kaangalie mitaa kama masaki, osterbay mbezi beach hamna watu kulee mitaa imekaa fresh na hamna mbanano.

Kwa hiyo mitaa hyo ndiyo wapo "WENYEJI"?
mm nawashauri jiji ili kupunguza hii nyomi wapandishe gharama za maisha hasa vyakula watakimbia wenyewe hawa wazurulaji.
Kwa hyo kutokuwa "mwenyeji" wa dar ni uzururaji?
pia better soln ni kuanzisha kodi ya kichwa na hii iwe inalipwa through systems.yan kwa wafanyakazi tukwatwe kwenye mishahara na kwa wafanyabishara waanzishiwe utaratibu mzuri
Mmmh..
and then ziwekwe road block pale labda chalinze au hata mizan na kwenye njia zote zinazoingia dar, kama ni mwenyeji
Wenyeji wa dar ni wazaramo!
kwa wageni wapigwe charges za kuingia mjini
Wageni ndio nani hao?
nakwambia hili likianza wakuja wengi watarudi makwao na pia tutadhibiti kwa kiasi kikubwa watu wanaokuja hapa dar na hawana wanachokuja kufanya
ASILIMIA 80 dar ni "wakuja"
 
Naona umeyagundua hayo baada ya kuuza kajumba ka mbavu za mbwa ulikorithi kwa wazazi wako magomeni. Umefanya starehe hela zmeisha ndo akili zimekurudia! Utalijua jiji!!
Tena mbaya zaidi kamuuzia mtu kavunja hicho kibanda kajenga bar anauza bia, nguruwe na makahaba wamejazana muziki unapigwa kwa sauti kubwa bila kujali muda, katikati ya makazi ya watu na analeseni yakufanya hivyo na watu wa haki zabinaadam nao ni wateja wa biashara hiyo bila kujali wala kukemea.
 
Keleuwiiiiiii
Hapafai,
Foleni foleni foleni
Unaamka saa kumi za usiku kuwahi foleni hapo unatoka na gari ya home,
Unarudi saa tatu za usiku hapo hujapitia popote hata kupata mbuzi choma,
............ mama yangu eeeeh, hapafai,
Natamani kuhamia Mafinga .........uwiiiiiiiii uwiiiiiiii kelewuiiiiiiiiii dar hapafai.
 
Its true dar is full of shit things kama ulivyosema. foleni na maji ndio vyakera zaidi. Angalizo: hata wewe ni wakuja kwa kuwa umerithi kwa wazazi wako waliotoka mikoani

Licha tu kuwa wazazi wake kuwa wametoka mikoani, bali kile tu kitendo cha kuzaliwa, nae ni wakuja. Kwani hawezi kuthibitisha kuwa kabla hajazaliwa alikuwepo hapa Dar!
 
Dar hafukuzwi mtu, tutaondoka wenyewe teh teh teh.
 
Licha tu kuwa wazazi wake kuwa wametoka mikoani, bali kile tu kitendo cha kuzaliwa, nae ni wakuja. Kwani hawezi kuthibitisha kuwa kabla hajazaliwa alikuwepo hapa Dar!
ni kweli kuwa asilimia kubwa ya wakazi wa Dar ni wakuja.Na ndio hawa nawazungumzia.Maudhui ya uzi huu ni kuonyesha jinsi watu hawa wasivyothamini mji huu wakati wanaishi humu humu.Na nalenga hasa wale ambao wanakuja miaka hii ya hivi karibuni.Wao wana sababu moja tu easy money,the rest they don't care.Wakuja wa huko nyuma sina shida nao.Walikuja na discipline zao ila nyie wa sasa hivi ni mzigo.Hamna taratibu za maisha.Mkija chuo kusoma huku mkumbuke kurudi kwenu wanahitaji wataalam.Dar imejaa jamani tuachieni tupumuwee!Tuliowahi tumewahi nyie nendeni Ntwara kuna gesi imegunduliwa huko there is a good future!bongo hamna hata nafasi ya kupitisha dala dala sasa!
 
Dar hafukuzwi mtu, tutaondoka wenyewe teh teh teh.

sawa lakini msilete na wajomba zenu,shangazi,kaka,dada wabaki huko huko Simiyu,Mpwapwa na kwingineko.Mkibaki huko mie niko serikalini nawaahidi tutakuja kuwajengea hospitali,madarasa na hata maduka pia ila muonyeshe uzalendo na miji yenu kwanza kabla ya utaifa unaanza ukanda kwanza.Mvua zimesimama siku mbili tu wote mnakimbia kuja Dar yaani hamna ubunifu mwingine zaidi ya kilimo?mmesikia Dar kuna kilimo?mtalima kwenye paa za maghorofa?mtamwagilia na maji ya vyoo?au ubunifu wenyewe ndo huu wa kudandia malori huku umevaa viatu vya matairi(skiing) hadi dar?na hii biashara ya bodaboda,kuuza maji na juice,mitumba na kupiga debe zote tunajadili tuzipige marufuku hapa manake ndio gia yenu ya kuhalalisha kuja huku kumbe usiku mnatukaba!waangalie wanavyotoka povu humu!nimepiga ikulu eeh?na mtarudi tu!subirini vikao vyetu viishe.
 
tutabanana huko huko mbona nyie mnakuja na kutuharibia Dar yetu?sasa mtapata shockwaves zake na sie tunakuja huko!nakuja na trekta na pesa zangu za kutosha na bastola yangu.mtapata ajira nikifika huko.ole wenu mkatae kuniuzia shamba!

kama ni hivyo uje na trekta nyingine kwaajili ya mwenyekiti wa kijiji wallah utapata shamba bure na tutakuita mzee hata kama unamiaka 20
 
tutabanana huko huko mbona nyie mnakuja na kutuharibia Dar yetu?sasa mtapata shockwaves zake na sie tunakuja huko!nakuja na trekta na pesa zangu za kutosha na bastola yangu.mtapata ajira nikifika huko.ole wenu mkatae kuniuzia shamba!

mkuu kama upo serious nina ekari yangu moja bagamoyo nataka kuiuza!! Kama vipi niPM tuzungumze biashara
 
ahahah umenikumbusha mbali sana..wakati mi nanunua site yangu mapinga b.moyo watu walikua wananishangaa kwanini nataka kwenda kukaa kule...watu hao hao wanakaa masaa 3 kwenye foleni wakati wanaelekea ofisini...ahahha (unajua kutoka Arusha hadi kilimanjaro ni mwendo wa lisaa limoja au dk 45 ivi...so kiufupi huyu mkazi wa dar akitoka home kwenda kazini...Mtu alieko arusha ataenda kilimanjaro na kurudi na kwenda tena...kabla huyu alieko dar hajafika kazini...ahahahhahah)
 
sawa lakini msilete na wajomba zenu,shangazi,kaka,dada wabaki huko huko Simiyu,Mpwapwa na kwingineko.Mkibaki huko mie niko serikalini nawaahidi tutakuja kuwajengea hospitali,madarasa na hata maduka pia ila muonyeshe uzalendo na miji yenu kwanza kabla ya utaifa unaanza ukanda kwanza.Mvua zimesimama siku mbili tu wote mnakimbia kuja Dar yaani hamna ubunifu mwingine zaidi ya kilimo?mmesikia Dar kuna kilimo?mtalima kwenye paa za maghorofa?mtamwagilia na maji ya vyoo?au ubunifu wenyewe ndo huu wa kudandia malori huku umevaa viatu vya matairi(skiing) hadi dar?na hii biashara ya bodaboda,kuuza maji na juice,mitumba na kupiga debe zote tunajadili tuzipige marufuku hapa manake ndio gia yenu ya kuhalalisha kuja huku kumbe usiku mnatukaba!waangalie wanavyotoka povu humu!nimepiga ikulu eeh?na mtarudi tu!subirini vikao vyetu viishe.

wewe ni mzaramo?
 
Back
Top Bottom