Wakristu waendelea kuchinjwa huko Nigeria

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
21,629
Reaction score
43,013
Makundi ya Waislam wa jamii ya Fulani wanaendelea kuua kwa kuwachinja Wakristu huko Nigeria safari hii Wakristu 52 wamechinjwa huko katika jimbo la Plateau katika eneo la Bokkos.

Eneo hili ni lile lile ambalo Wakristu 300 waliuawa na Waislam mwaka 2023.

20250406_125816.jpg

View: https://x.com/visegrad24/status/1908796510277689685?t=N9jdUjrU4bXSqUECebjrbQ&s=08
 
Muislamu hawezi kuua mtu wa dini nyengine. Kuwa dini nyengine sio sababu ya kuua. Hao watakuwa na mambo yao ya kisiasa au visasi vyao msiingize mambo ya dini.
Ukitaka kuujua uislamu wewe soma Quran wewe mwenyewe utaona kwa macho yako Allah anachosema usisikilize maneno ya watu. Ukikuta kuna aya inasema wasiokuwa waislamu wauliwe basi ilete hapa hiyo aya. Kamwe huwezi kuikuta. Wanaoouliwa ni wale wenye kuua au vitani lakini otherwise hairuhusiwi kuua
Uislamu ni dini njema sana basi inapakwa matope tu.
 
Maelezo marefu ila mwisho wa siku swala ni lile lile
 
Muislamu hawezi kuua mtu wa dini nyengine. Kuwa dini nyengine sio sababu ya kuua. Hao watakuwa na mambo yao ya kisiasa au visasi vyao msiingize mambo ya dini.
Ukitaka kuujua uislamu wewe soma Quran wewe mwenyewe utaona kwa macho yako Allah anachosema usisikilize maneno ya watu. Ukikuta kuna aya inasema wasiokuwa waislamu wauliwe basi ilete hapa hiyo aya. Kamwe huwezi kuikuta. Wanaoouliwa ni wale wenye kuua au vitani lakini otherwise hairuhusiwi kuua
Uislamu ni dini njema sana basi inapakwa matope tu.
Inategemea na wewe ulivyopokea dini wenziio wanaua.Na kutetea kwako yaonyesha wewe pia ni walewale. Unajuaje kua hawkuuwawa kwa. sababu dini n mauaji yamefanlyika mara nyingi na wanasema ni dini
 
Muislamu hawezi kuua mtu wa dini nyengine. Kuwa dini nyengine sio sababu ya kuua. Hao watakuwa na mambo yao ya kisiasa au visasi vyao msiingize mambo ya dini.
Ukitaka kuujua uislamu wewe soma Quran wewe mwenyewe utaona kwa macho yako Allah anachosema usisikilize maneno ya watu. Ukikuta kuna aya inasema wasiokuwa waislamu wauliwe basi ilete hapa hiyo aya. Kamwe huwezi kuikuta. Wanaoouliwa ni wale wenye kuua au vitani lakini otherwise hairuhusiwi kuua
Uislamu ni dini njema sana basi inapakwa matope tu.
Ndugu, wapo waislamu wanayotenda hayo matendo kwa sababu za kidini tu na si vinginevyo kutokana elimu ya itikadi kali waliyopewa muislamu kama wewe ambae upo soft na unaweza ata kula chakula au kuishi nyumba moja na asiye muislamu wanakuona kafiri wanakuchinja tukubali elimu ya itikadi kali ipo.
 
Muislamu hawezi kuua mtu wa dini nyengine. Kuwa dini nyengine sio sababu ya kuua. Hao watakuwa na mambo yao ya kisiasa au visasi vyao msiingize mambo ya dini.
Ukitaka kuujua uislamu wewe soma Quran wewe mwenyewe utaona kwa macho yako Allah anachosema usisikilize maneno ya watu. Ukikuta kuna aya inasema wasiokuwa waislamu wauliwe basi ilete hapa hiyo aya. Kamwe huwezi kuikuta. Wanaoouliwa ni wale wenye kuua au vitani lakini otherwise hairuhusiwi kuua
Uislamu ni dini njema sana basi inapakwa matope tu.
Kule Vatican tunasikiaga makasisi wamelawiti watoto na hakuna Mkristo utamsikia hata hapa JF akikanusha wale sio Wakristo au Wakristo hawawezi kulawiti watoto.

Kwanini msikubali kuna Waislamu waliopotoka? Mwisho wa siku Muislamu ni binadamu na binadamu ana mapungufu mengi tu. Kuwa Muislamu sio tiketi ya kuwa Malaika.

Au kwenye dini yenu ni dhambi kukiri dhambi?
 
Ahh hapana wapo waislamu wengi wamepotoka na wala hawafuati mafundisho ya dini yetu. Na hii ni kwa wote dini zote sio wote wazuri. Lakini sasa nyinyi mnatuunganisha waislamu kama vile dini yetu ndio inafundisha hayo. Ndio mana nimekwambieni someni Quran muone wenyewe kwa macho yenu. Hapo ukifuatilia hayo mauaji utakuta ni mambo ya kisiasa au uchumi it has nothing to do with thier religion
 
Muislamu hawezi kuua mtu wa dini nyengine. Kuwa dini nyengine sio sababu ya kuua. Hao watakuwa na mambo yao ya kisiasa au visasi vyao msiingize mambo ya dini.
Ukitaka kuujua uislamu wewe soma Quran wewe mwenyewe utaona kwa macho yako Allah anachosema usisikilize maneno ya watu. Ukikuta kuna aya inasema wasiokuwa waislamu wauliwe basi ilete hapa hiyo aya. Kamwe huwezi kuikuta. Wanaoouliwa ni wale wenye kuua au vitani lakini otherwise hairuhusiwi kuua
Uislamu ni dini njema sana basi inapakwa matope tu.

Muislamu hawezi kuua mtu wa dini nyengine. Kuwa dini nyengine sio sababu ya kuua. Hao watakuwa na mambo yao ya kisiasa au visasi vyao msiingize mambo ya dini.
Ukitaka kuujua uislamu wewe soma Quran wewe mwenyewe utaona kwa macho yako Allah anachosema usisikilize maneno ya watu. Ukikuta kuna aya inasema wasiokuwa waislamu wauliwe basi ilete hapa hiyo aya. Kamwe huwezi kuikuta. Wanaoouliwa ni wale wenye kuua au vitani lakini otherwise hairuhusiwi kuua
Uislamu ni dini njema sana basi inapakwa matope tu.
Ndugu haya mambo hayajaanza leo wanaoyafanya hayo ni watu wenye imani zao na itikadi sisi huku izo imani tumepokea tu wote ukristo na uislamu,

Waliojikita hasa kwenye izi imani mkristo na muislam hawawezi kula sahani moja

Tangu enzi za Pope urban II na rashidun caliphate (1095) uislam na ukristu ni maji na mafuta kipindi cha crusade war, lengo kuhakikisha miji mitakatifu yote kama Jerusalem na mingine inayokaliwa na waislamu inarudi mikononi mwa wakristu,
Sawa na jihad kwa waislamu moja motives ya hizi movement ni kuhakikisha wanazidi kujitanua kwa njia yoyote ikiwezekana hata kumwaga damu, na huwezi kuhakikisha imani inaenea bila kuwamaliza wa imani nyingine (kuwapunguza)
Siasa imekuja badala ya dini siasa imekua kivuli cha kuficha uovu wa izi imani ata machafuko yanayotokea duniani kote kiini chake ni hizi imani,
 
Muislamu hawezi kuua mtu wa dini nyengine. Kuwa dini nyengine sio sababu ya kuua. Hao watakuwa na mambo yao ya kisiasa au visasi vyao msiingize mambo ya dini.
Ukitaka kuujua uislamu wewe soma Quran wewe mwenyewe utaona kwa macho yako Allah anachosema usisikilize maneno ya watu. Ukikuta kuna aya inasema wasiokuwa waislamu wauliwe basi ilete hapa hiyo aya. Kamwe huwezi kuikuta. Wanaoouliwa ni wale wenye kuua au vitani lakini otherwise hairuhusiwi kuua
Uislamu ni dini njema sana basi inapakwa matope tu.
Na mistari yote ile ya kuua Manasara na Mayahudi unaiacha wapi?
 
Back
Top Bottom