Ukisikia wanasema dini ya amani maana yake ni kinyume Chake. Maana Hilo neno amani linatamkwa kwa KiunafikiDini inayojiita ya amani hiyo. Inakamilisha maagizo ya mtume wa Muhammad.
Ukisikia wanasema dini ya amani maana yake ni kinyume Chake. Maana Hilo neno amani linatamkwa kwa KiunafikiDini inayojiita ya amani hiyo. Inakamilisha maagizo ya mtume wa Muhammad.
Makundi ya Waislam wa jamii ya Fulani wanaendelea kuua kwa kuwachinja Wakristu huko Nigeria safari hii Wakristu 52 wamechinjwa huko katika jimbo la Plateau katika eneo la Bokkos.
Eneo hili ni lile lile ambalo Wakristu 300 waliuawa na Waislam mwaka 2023.
View attachment 3294773
View: https://x.com/visegrad24/status/1908796510277689685?s=19
Kama vile utopolo wa Bokko Haram ulivyoisha baada ya America na France kubanwa huko magharibi ya Afrika,na uongo mwengine wote nao utasita tu.Gaza ataweka Webabu
Mi wacha nikomae na Waafrika wenzangu
Dini zote zina namna ya kumalizana hakuna anaetaka mwenzake aenee kuliko yeye, wengine wanatumia nguvu kubwa wengine wanatumia akili kubwa tunaoumia ni sisi ngozi nyeusi tuliokubali kupokea.Usisahau kuweka na kule Gaza
Kyle gaza kwani KUNA wakristo wanaua waislam au KUNA vita ya ardhi na utawala kati ya waisrael na wayahudi halafu nje huku ndo KUNA ushabiki wa kidini makobazi wakiwa upande wa waarabu wapalestina na wakristo wakiwa upande wa myahudiUsisahau kuweka na kule Gaza
Toka wewe........na yule aliyesema wanawake ni kama ng'ombe mbuzi au farasi au punda naye ni shehe unataka kukataa wakati anasema na kitabu chenu kinabariki..........ila waislam kumabbsbshsjskjsksk ni mafala sana...........watu hawataki mafundisho yenu mnalazimisha wawe waislam wasipotaka mnaua mnapata faida gani?? Mnataka nchi yote muwe waislam ili iweje na wakati mmewakuta watu wa dhehebu nyingine......??.......nakili kusema hii sio dini ya mwenyezi mungu kabisa hii kuna punguani mmoja ndio alianzisha hayo mambo ya kuvaa madela siku nzima...............huwezi kuta roman Catholic anakwambia njoo roma wewe ila muislam kira siku utasikia njoo kwenye dini ya haki wewe ...........haki gani wakati mama yako aliolewa kwa nguvu na bila kupenda tena akiwa na miaka 9........,...pumbavu sanaMuislamu hawezi kuua mtu wa dini nyengine. Kuwa dini nyengine sio sababu ya kuua. Hao watakuwa na mambo yao ya kisiasa au visasi vyao msiingize mambo ya dini.
Ukitaka kuujua uislamu wewe soma Quran wewe mwenyewe utaona kwa macho yako Allah anachosema usisikilize maneno ya watu. Ukikuta kuna aya inasema wasiokuwa waislamu wauliwe basi ilete hapa hiyo aya. Kamwe huwezi kuikuta. Wanaoouliwa ni wale wenye kuua au vitani lakini otherwise hairuhusiwi kuua
Uislamu ni dini njema sana basi inapakwa matope tu.
Christmas ni tarehe 25Nimwendelezo Dec 27_2023 waliuawa wakritu zaidi ya 100 wakisherehekea sikukuu za Christmas.
Umeisoma mwenyewe hiyo Quran au umesimuliwa na Padri wako kanisani? Kama umesoma basi ilete hiyo mistari inayosema tuuwe mayahudi na wakristo.Na mistari yote ile ya kuua Manasara na Mayahudi unaiacha wapi?
Makundi ya Waislam wa jamii ya Fulani wanaendelea kuua kwa kuwachinja Wakristu huko Nigeria safari hii Wakristu 52 wamechinjwa huko katika jimbo la Plateau katika eneo la Bokkos.
Eneo hili ni lile lile ambalo Wakristu 300 waliuawa na Waislam mwaka 2023.
View attachment 3294773
View: https://x.com/visegrad24/status/1908796510277689685?t=N9jdUjrU4bXSqUECebjrbQ&s=08
Bko Haram imeanzishwa na Marekani?Umeisoma mwenyewe hiyo Quran au umesimuliwa na Padri wako kanisani? Kama umesoma basi ilete hiyo mistari inayosema tuuwe mayahudi na wakristo.
Tatizo lenu mnafuata mkumbo wa western media kuwashutumu waislamu bure tu.
Ukifatilia kwa undani utakuta hapo wanapigana sababu labda ya madini au mafuta au ardhi au siasa. Na hapo wamechonganishwa na western countries ili wapigane wao waibe rasilimali zao. Nyinyi huku mnawashambulia waislamu. Hakuna muislamu ataua mtu bure tu hakuna kamwe. Hapo tunasingiziwa kabisa. Kuna issue nyengine hapo issue sio dini
Ndio 100% na wanapewa pesa na silaha na US na Western countries. Kwa kifupi ni kikundi kwa ajili yao kuhakikisha hakuna amani ili wao wachukue mafuta yao huko Nigeria.Bko Haram imeanzishwa na Marekani?
wewe acha kudanya watu wewe,uisalamu unaruhusu kuua mtu kafiri (asiye muisilam)Muislamu hawezi kuua mtu wa dini nyengine. Kuwa dini nyengine sio sababu ya kuua. Hao watakuwa na mambo yao ya kisiasa au visasi vyao msiingize mambo ya dini.
Ukitaka kuujua uislamu wewe soma Quran wewe mwenyewe utaona kwa macho yako Allah anachosema usisikilize maneno ya watu. Ukikuta kuna aya inasema wasiokuwa waislamu wauliwe basi ilete hapa hiyo aya. Kamwe huwezi kuikuta. Wanaoouliwa ni wale wenye kuua au vitani lakini otherwise hairuhusiwi kuua
Uislamu ni dini njema sana basi inapakwa matope tu.
Quran 2:191Umeisoma mwenyewe hiyo Quran au umesimuliwa na Padri wako kanisani? Kama umesoma basi ilete hiyo mistari inayosema tuuwe mayahudi na wakristo.
Tatizo lenu mnafuata mkumbo wa western media kuwashutumu waislamu bure tu.
Ukifatilia kwa undani utakuta hapo wanapigana sababu labda ya madini au mafuta au ardhi au siasa. Na hapo wamechonganishwa na western countries ili wapigane wao waibe rasilimali zao. Nyinyi huku mnawashambulia waislamu. Hakuna muislamu ataua mtu bure tu hakuna kamwe. Hapo tunasingiziwa kabisa. Kuna issue nyengine hapo issue sio dini
AU sio unatuona watotoMuislamu hawezi kuua mtu wa dini nyengine. Kuwa dini nyengine sio sababu ya kuua. Hao watakuwa na mambo yao ya kisiasa au visasi vyao msiingize mambo ya dini.
Ukitaka kuujua uislamu wewe soma Quran wewe mwenyewe utaona kwa macho yako Allah anachosema usisikilize maneno ya watu. Ukikuta kuna aya inasema wasiokuwa waislamu wauliwe basi ilete hapa hiyo aya. Kamwe huwezi kuikuta. Wanaoouliwa ni wale wenye kuua au vitani lakini otherwise hairuhusiwi kuua
Uislamu ni dini njema sana basi inapakwa matope tu.
Anna acha kunishtua na u 'senstive' wako!Bhana na ww wengine tupo sensitive