Muislamu hawezi kuua mtu wa dini nyengine. Kuwa dini nyengine sio sababu ya kuua. Hao watakuwa na mambo yao ya kisiasa au visasi vyao msiingize mambo ya dini.
Ukitaka kuujua uislamu wewe soma Quran wewe mwenyewe utaona kwa macho yako Allah anachosema usisikilize maneno ya watu. Ukikuta kuna aya inasema wasiokuwa waislamu wauliwe basi ilete hapa hiyo aya. Kamwe huwezi kuikuta. Wanaoouliwa ni wale wenye kuua au vitani lakini otherwise hairuhusiwi kuua
Uislamu ni dini njema sana basi inapakwa matope tu.