Wakristo wataka machinjio yao

Ila ni weli bana tuanze kupewa na sie kuchinja kwani nani kahalalisha hawa jamaa wachinje peke yao???

Wakati wewe unachinja unamshukuru nani na kumtukuza nani ? Muislaam anakatazwa kula hata kuku aliyefanyiwa shughuli za uganga (ushirikina) pia wakati unawinda, Mbwa wako anaweza kuua mnyama kabla hujamchinja, ni rukhsa kumla ikiwa wakati Mbwa wako ana charge kwa amri yako, basi unamkusudia Mw' Mungu na kumshukuru ! Hiyo ndo ytofauti. Hili jambo limejadiliwa humu JF na mpaka aya na you tube zimetundikwa humo ! Ukipata bahati ukaona Ngamia anavyochinjwa kiislaam, bila shaka utajua maana ya kuchinja kwa kushukuru na kumtukuza Mola wako !
 
mkuu huo ni utaratibu wa zamani,siku hizi unachukua mkate unauloweka kwenye gongo(POMBE YA GONGO AU HATA KONYAGI),akisha kura analewa na unamchinja kiraisi sana!

Nguruwe hana pa kumchinja ! Pengine gongo linasaidia kumpunguzia maumivu atakayopata baada ya kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali !
 
Nguruwe hana pa kumchinja ! Pengine gongo linasaidia kumpunguzia maumivu atakayopata baada ya kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali !
Mkuu huo ni utaratibu unaoujua wewe,hila sisi tunaokula tunajua anachinjwaje!
 
kenya vyakula vyote vina nembo ya HALAL FOOD sijui tanzania itaanza lini!hiyo ya wakristo itakua na nembo unhalal food
Mwongo Mkubwa! nenda NAKUMAT Mall kaangalie safu ambayo 'Kitimoto inauzwa kama ina lebo "Halal food".
 
Back
Top Bottom