Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

Naomba nitoe elimu kidogo: Kuna wakristo wasio wakristo, hawa hawaujui ukristo kwa maana ya kwamba hawana uhusiano binafsi na KRISTO. Wakristo wasio wakristo wanapotoa sadaka wanaamini wanampa/wanamfadhili mchungaji!! Wakristo walio WAKRISTO (waliookoka) wanapotoa sadaka wanajua wanamtolea Mungu na ndivyo ilivyo!! Wakristo wasio wakristo wamezaliwa na wazazi wakriso ambao pia wanaweza kuwa ni wakristo wasio wakristo pia!! Mkristo wa kweli ni yule aliyeokoka.
Unaokokaje na Bado upo duniani we Mzee..... Ndio mnavyojidanganyaga hivyo walokole.....
 
Na hawa wanaochinja mifugo kwa wingi na kugawa nyama mitaani ni waislam wa wapi? Ni hawahawa wa bongo au ni kutoka nje?
 
Wakristo utoaji unaonekana wazi Tena mkubwa kaangalie shule zilijengwa na wakristo kuanzia chekechea ,msingi Hadi sekondari na Hadi vyuo vikuu ili.kuondolea waumini ujinga na kuwapa elimu ya uhakika shule

Pili kaangalie mahospitali yanayohudumia watu wote bila ubaguzi makubwa Hadi ya rufaa yaliyojengwa na Wakristo.Waoslamu kazo kugawa tende mwezi wa Ramadhani na kufuturisha watu au kugawa kakiroba la kilo kumi.kamoja mwezi wa Ramadhani.Maskinini anaishia tu kufuturu Ramadhani baada ya hapo anarudi kwenye Umaskini wake anasubiri Ramadhani ijayo
Kwani hzo hospital na shule zinatoa huduma bure....?
 
Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa

Licha ya kwamba waislamu wengi ni maskini ukilinganisha na wakristo, Nimegundua waislamu hawatoi sana sadaka misikitini lakini huwa wanasaidia sana huku nje.

Nimewahi kupata shida ya maji na niliweza kuchota maji bure kabisa msikitini wiki nzima.

Niliwahi kufikia sehemu sina pa kulala nilienda kanisani nikiwa muumini wa kanisa tangu mtoto lakini nilikataliwa kabisa, sehemu iliyonitunza ni msikiti, kanisa waweza kukuta lina mabomba ya kutosha ila ni kwajili ya matumizi ya kikanisa tu.

Mwezi wa Ramadhani ule mwezi mzima ni kawaida sana kuwakuta waislam wanasaidia vyakula watu wenye shida.

Waumini wana magonjwa ambayo yanatibika kwa milioni 10 lakini wachungaji wenye account zinazosoma Bilioni wapo kujifanya wanawaombea, Kweli? Haya kama sio maombi ya kinafki tuyaitaje?

Pamoja na mazuri haya kilichonitatiza kuhamia uislam ni dini ambayo ina baadhi ya sheria zenye mirengo mikali sana, hakuna free will uhuru wa kiimani kwamba unaweza kuchagua dini nyingine, kukariri koran na kuomba kwa lugha usiyoijua, mistari yenye kuchochoea chuki dhidi ya wasio waislam, n.k.
Hili lina ukweli, wakristo Mungu atusaidie kubadirika, turudi kwenye misingi ya kibiblia.
 
Answar wale tatizo washari sana hawafai. Waislamu licha ya matatizo yao ni wepesi kusaidia. Nakumbuka nikiwa nyumbani Kagera zamani sana mzee alikua anamchukia jirani yetu alikua muislamu, lakini kuna matatizo ya kishirikina yalimfika. mzee si mtu wa kidini vile..kanisani maombi yalidunda, waganga hola, akaamua kumshirikisha jirani mwishowe.

Huwezi amini jamaa aliyabeba matatizo ya mzee kwa masikitiko makubwa kama ndugu vile akasahau vitimbi na chuki ya mzee. Na kweli mzee alisaidika shida ikaisha kupitia jamaa.

Ninakumbuka maneno pekee alimueleza mzee alimwambia, "nyie wenzetu mnatudharau lakini mkifikwa na mambo mazito mkazunguka na kukwama kote mwisho mnakuja tuwasaidie na sisi hatuna hiyana jirani nitakusaidia kwa hali na mali".

Yule jamaa alicharaza maneno kile kitabu chao mzee alikaa sawa kabisa. Jamaa hakua mganga bali alikua mshika dini sana, yeye hakua hao wakata kanzu wazee wa vurugu answar
Huyo jamaa baada ya kuona mzee wako anachuki nae akamshughulikia ili kumtia adabu. Alivyonyooka akamwachia. Usicheze na ustaadh dogo.
 
Kuna watu makini sana JF, nakupa 5 ya nguvu. Ukristu ni upigaji, nilihama huko baada ya kuwa na mashaka na "ufufuko ". Mungu wa kweli anaweza kumtoa mwanae kafara kweli?
 
Attachments

  • 1704044183362.jpg
    1704044183362.jpg
    33.2 KB · Views: 6
Ila ingekua hao ni waislamu halafu mtu akwambie hao sio waislamu usingekubaliana na huo utetezi,

Wewe ndio huna roho ya kupambanua ukweli na udanganyifu na huwezi kujijua coz akili hiyo huna.
sheikh naona unaleta utani mkuu wangu, unaniambia sina akili, are you serious?
 
I'm laughing, when you compare Christians and Muslims , "love them and kill them" do you remember the way people were killed when they rejected Christianity? Go back to church history.
 
Tukumbushane tu kuwa hiyo misikiti inayotoa na kushirikiana na jamii ni ya BAKWATA pekee!!

Wale Answar hawataki hata Waislam wenzao wa BAKWATA sembuse asiye Muislam kuwasogelea....!!

Walituleteaga fujo ya mapanga wale Kenge (AnswarSun) sitawasahau!!
Hakuna ukweli.
 
Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa

Licha ya kwamba waislamu wengi ni maskini ukilinganisha na wakristo, Nimegundua waislamu hawatoi sana sadaka misikitini lakini huwa wanasaidia sana huku nje.

Nimewahi kupata shida ya maji na niliweza kuchota maji bure kabisa msikitini wiki nzima.

Niliwahi kufikia sehemu sina pa kulala nilienda kanisani nikiwa muumini wa kanisa tangu mtoto lakini nilikataliwa kabisa, sehemu iliyonitunza ni msikiti, kanisa waweza kukuta lina mabomba ya kutosha ila ni kwajili ya matumizi ya kikanisa tu.

Mwezi wa Ramadhani ule mwezi mzima ni kawaida sana kuwakuta waislam wanasaidia vyakula watu wenye shida.

Waumini wana magonjwa ambayo yanatibika kwa milioni 10 lakini wachungaji wenye account zinazosoma Bilioni wapo kujifanya wanawaombea, Kweli? Haya kama sio maombi ya kinafki tuyaitaje?

Pamoja na mazuri haya kilichonitatiza kuhamia uislam ni dini ambayo ina baadhi ya sheria zenye mirengo mikali sana, hakuna free will uhuru wa kiimani kwamba unaweza kuchagua dini nyingine, kukariri koran na kuomba kwa lugha usiyoijua, mistari yenye kuchochoea chuki dhidi ya wasio waislam, n.k.
Huo ni Uongoo .Soma hiyo dini utakuja nishukuru maisha yako yote na hutojutaa.
 
Back
Top Bottom