Kwa nini Waislamu utumia muda mwingi kupondea Dini nyingine katika mawaidha?

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Mara nyingi uwa nakutana na post mbalimbali za mawaidha ya Dini ya kiislamu, mitandaoni. Na uwa nasikiliza kujua nini kinaubiriwa katika mawaidha hayo. Moja ya reference ni hii hapo chini.

View: https://www.instagram.com/reel/Cxii_7IKFyR/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Lakini mara nyingi nimekuwa Disappointed kukutana na baadhi ya Masheikh wakitumia muda mwingi kufundisha juu ya ukamilifu wa Dini yao na kupondea Dini nyingine. Yani mpaka muda mwingine unasikia kabisa anakwambia ni heri uwe mtendaji dhambi lakini uitwe muislam kuliko kuwa mtu wa Dini nyingine. Neno nilijaribu kutafuta maana yake nikaambiwa ni mtu ambaye hayuko kwenye hizi Dini tatu zenye chimbuko la Abrahamu. Lakini waislamu wengine utumia neno Kafiri kumaanisha wafu wa dini zote isipokuwa Uislamu, hasa hasa wakristo ndio umaanishwa hapa.

My Take: Kwa nini Waislamu wasitumie nguvu kubwa kuhubiri kuhusu matendo mema, kuacha dhambi, na kuabudu MUNGU mkuu kuliko hii nguvu wanayotumia kuponda dini za watu wengine na agenda yao kuu ni kila mtu kujiunga na uislamu. Katika ukristo ni Dini isiyokuwa na mambo mengi, uwezi kukuta Mchungaji au Askofu yuko busy kupondea Dini nyingine au kuzikashifu, kwenye ukristo habari njema inayohubiriwa ni juu ya wokovu yani kuacha dhambi na kumtumikia MUNGU mkuu na mwanaye YESU kristo ambaye alitumwa kututoa katika dhambi na yeye akiwa ndio njia ya kufika mbinguni kwa kumuamini na kuamini mafundisho yake.

Waislamu mmekuwa mkiponda ukristo ikizingatiwa Ukristo umetangulia kuja Duniani hata kabla ya Uislamu na hata Quran yenu imetoa mafundisho katika kitabu cha biblia chenye Injili ya kristo, na Torati.
 
Wao hawafindishi watu kwenda mbinguni, wanafundisha watu kuwa waislamu, hiyo kwao inatosha na ndiyo fahari yao.

Wakati sisi wakristo, fahari yetu ni kuwafundisha watu kuhusu kwenda mbinguni (ufalme wa milele). Ndio maana hatuko busy kukosoa uislamu. Kupoteza mda kwa kukosoa dini nyingine badala ya kuwafundisha wanadamu juu ya ufalme wa milele ni kumkosea Mungu.
 
waach

waache waendelee na wao sikuizi ndani yao si kuna waisilamu walokole.

Ukiona wamafunga maspeaker na mikelele kibao ujue ni walokole wa kiislamu.

waliobaki ni wale wanaokua makini na swala 5, wao hutumia adhana kustuana muda wa ibada na swala sio kelele kama hao waislamu wakisasa ambao saa zingine wapiga adhana saa3 asubuh sasa sijui huwa wanakesha wapi.
 
Hili ni moja ya jambo la hovyo sana linalonifanya nichukie baadhi ya watoa mawaidha.

Kwa dunia ya leo dini kama msingi wa maisha duniani/ahera, kuna mambo mengi sana ya kuwakhutubia watu ili kuendeleza jamii ya dini husika kuliko kueneza jumbe zenye viashiria vya chuki.

Tusisahau binadamu sisi ni sawa, hizi dini si kitu cha kufanya kututoa ubinadamu na utu.
 
Ni ujinga wa fikra tu. Badala mtu atumie muda wake kutueleza uzuri wa dini yake ni watu washawishike lakini anatumia muda kuelezea dini nyingine.
 
Wao hawafindishi watu kwenda mbinguni, wanafundisha watu kuwa waislamu, hiyo kwao inatosha na ndiyo fahari yao.

Wakati sisi wakristo, fahari yetu ni kuwafundisha watu kuhusu kwenda mbinguni (ufalme wa milele). Ndio maana hatuko busy kukosoa uislamu. Kupoteza mda kwa kukosoa dini nyingine badala ya kuwafundisha wanadamu juu ya ufalme wa milele ni kumkosea Mungu.
NI kweli kupitia elimu hiyo, nilimsikia yule mama mfalume yule wa mwanza amsimulia ndugu mwandishi, kuhusu safari yake ya mbinguni.
Mwingine, nilimuona yuko juu ya mti, wafuasi wake wako chini, wakimuimbia mchungaji akijiandaa kwenda mbinguni.
 
Maalim toa muongozo
Hiyo ni kwa Mujibu wa mafundisho yenu mnasema ukristo sio Dini ili waumini wenu waamini Dini ya Uislamu ndio dini pekee.... Hiyo ni kauli ya kutaka waumini wenu wasiache dini yenu, kauli za kijanja janja za kubakisha waumini.

Ukristo umekuwepo tangu enzi na enzi, Uislamu ni Dini ya Juzi tu... Uislamu umekuta Dini ya Ukristo tayari ipo Duniani, uwezi kusema ukristo sio Dini wakati Mohamed mwenyewe kaukuta ukristo, na yeye akaamua kuja na Dini yake.
sawalakini uislamu ndioumekuja kufuta dinizote zauongo zinazo abudu watu badala yamungu.

wakiristo mnamwabudu yesu wakatiyesu alikuwa kapenta Kule galilaya huoni mnadanganywa?
 
Unasema Yesu alikuwa Carpenter na bado kwenye Dini yenu mnamuita Mtume, na kila siku mnafundisha kuhusu injili yake alafu mkija mitandaoni mnamtukana....

Ukristo unaamini katika Utatu mtakatifu.

1. MUNGU MKUU (GOD) aliyeumba mbingu na ardhi, wanyama na viumbe vyote Duniani.

2. Mwana wa Mungu YESU, aliyetumwa Duniani na MUNGU MKUU hili atuokoe katika dhambi, awe njia ya wokovu na ya kufika mbinguni (Kufika mbinguni ni katika kuamini mafundisho yake, kumuamini MUNGU MKUU, kutenda mambo mema Duniani)

3. Roho Mtakatifu, huyu ni kama Roho inayokuongoza katika maisha ndani ya Yesu Kristo na MUNGU MKUU. Kun muda nafsi inakwambia uache dhambi, uache kitu fulani kibaya na kadhalika, huyo ni roho Mtakatifu... Husipokuwa na roho Mtakatifu utabaki kubwa mtenda dhambi tu na uwezi kujutia dhambi
 
Ni ujinga wa fikra tu. Badala mtu atumie muda wake kutueleza uzuri wa dini yake ni watu washawishike lakini anatumia muda kuelezea dini nyingine.
Mpaka mimi nimekuwa nikishangaa... Hii ni Dini gani inatumia nguvu kuponda Dini za watu wengine. Mbona Dini nyingine hazipondi uislamu, au wanatumia hiyo njia kuwaaminisha na kuwaogopesha waislamu kwamba Dini nyingine ni mbaya ili wasiame.... Maana hata mama akitaka mtoto asile Chipsi ataambiwa ukila Chipsi utakufa, katoto kanaogopa kumbe mama hataki tu kale. Hakuna kitu waislamu wanachunga sana kama waumini wao kubadili Dini, hivyo watahubiri juu ya mabaya ya Dini nyingine ili watu wasiame
 
Hiyo kawaida. Hata manabii walikuwa wanaponda ukafiri nakupelekea kuchukiwa kwenye jamii waliyokuwepo.
Hauwezi useme kuhusu mambo mema bila kupinga maovu.
 
Unasema Yesu alikuwa Carpenter na bado kwenye Dini yenu mnamuita Mtume, na kila siku mnafundisha kuhusu injili yake alafu mkija mitandaoni mnamtukana....

Ukristo unaamini katika Utatu mtakatifu.

1. MUNGU MKUU (GOD) aliyeumba mbingu na ardhi, wanyama na viumbe vyote Duniani.

2. Mwana wa Mungu YESU, aliyetumwa Duniani na MUNGU MKUU hili atuokoe katika dhambi, awe njia ya wokovu na ya kufika mbinguni (Kufika mbinguni ni katika kuamini mafundisho yake, kumuamini MUNGU MKUU, kutenda mambo mema Duniani)

3. Roho Mtakatifu, huyu ni kama Roho inayokuongoza katika maisha ndani ya Yesu Kristo na MUNGU MKUU. Kun muda nafsi inakwambia uache dhambi, uache kitu fulani kibaya na kadhalika, huyo ni roho Mtakatifu... Husipokuwa na roho Mtakatifu utabaki kubwa mtenda dhambi tu na uwezi kujutia dhambi
Munguamezaalini hadiawe na mwana
 
Hiyo kawaida. Hata manabii walikuwa wanaponda ukafiri nakupelekea kuchukiwa kwenye jamii waliyokuwepo.
Hauwezi useme kuhusu mambo mema bila kupinga maovu.
Hao manabii unaowazungumzia walikuwa Dini gani?
 
Munguamezaalini hadiawe namwana
Kwani wewe hadi uwe na Mwana ni mpaka umzae....? Mungu katuumba kupitia Adam, MUNGU ni baba yetu Mkuu, na aliyekuzaa na Baba yako wa Duniani.

Yesu alipoulizwa swali na wazazi wake wa Duniani, alijibu "Kwani hamkufahamu kuwa ilinipasa kuwa kwenye nyumba ya Baba yangu" akimaanisha Baba wa mbinguni, kwamba alienda kwenye Hekalu la kuabudu

Sisi sote ni watoto wa Mungu as long as tunafata amri zake na maagizo yake. Yeye ni Baba yetu Mkuu kwa sababu katuumba... sisi ni watoto wake.
 
Hao manabii unaowazungumzia walikuwa Dini gani?
Waislamu kwa sababu ya kumuabudu Mwenyezi Mungu mmoja na hawakumshirikisha na Mwenyezi Mungu kwa chochote.
Vitu haviko sawa wewe usikemee hiyo itakuwa dini au kikundi cha wahuni.
 
Back
Top Bottom