Wakristo bucha hii hapa

Wakristo bucha hii hapa

HAIJATULIA HATA KIDOGO,..HII HALI INAKUA KWA KASI SANA HAPA NCHINI NA TUNAOWAITA VIONGOZI aka WENYE NCHI WASIPOKUWA MAKINI TUTAJUTA KUZALIWA TZ.
 
Imetulia hii, tena inafaa mabucha yote yabandike lebo ya aina hii ili kila mtu achague nyama aipendayo vinginevyo tutalishana vubudu tuu, watu miaka yote wananyonga leo wanadai wachinje.
Kama ukiwa unaangalia umbali wa mita moja kutoka usawa wa macho yako utaona hili ni jambo jema. Lakini kwa hakika hili ni jambo la hatari na la kulaaniwa kabisa. Tukianza kugawana bucha, tutakuja kugawana maduka, baadaye tutagawana hata visima vya kuchota maji, na mwisho wa siku hata barabara tutatakiwa kutengeneza za waislam na wakristo. Nasikitishwa sana na silence ya serikali juu ya jambo hili.
 
Tunachinja mpaka Mbogo..!

Weeeeee.......waulize waarabu wa Loliondo wanachinjaje mbogo.......
Chukua chinja hii.........
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    500.4 KB · Views: 51
Matunda ya tamaa ya madaraka ya ccm na mafisadi wake.matokeo zaidi yanakuja.tusubiri.
 
Hakuna haja ya kuwa na hofu.....duniani kote kwenye mchanganyiko wa imani huu ndio utaratibu.......kumbuka suala la kuchinja kiislamu ni la waislamu tu na halihusu imani zingine......mazoea tulokuwa nayo hayakuwa sahihi

Mkuu Safari_ni_Safari hofu yangu kubwa ni jinci issue nzima inavyokuwa handled.. Hilo ndilo linalonikosesha amani sana.. Kama imefikia watanzania kuchinjana ili kuzuia mwingine asichinje.. basi inaonyesha tumekosa mavumiliano na tutapelekwa kwenye next step ambayo nayo haitakuwa ya mwisho.. Tuna ombwe kubwa sana la uongozi wenye busara ambao ungeweza kulitatua hili bila ya damu kumwagika..!
 
Ni kweli hoja yako........viongozi wetu ni waoga wakitu kimoja.....kukosa kura.....ndio maana kila panapotokea opportunity ya kupata kura wanalainisha taratibu zilizoko........angalia leo suala la bodaboda linavyosumbua.....katika hili la kuchinja serikali haitaki kuwaudhi WAISLAMU pasi na kusahau kuwa kwa kuafanya hivyo wanaudhi watu wasio Waislamu
 
Mkuu sosoliso, nakusihi wala usipeleke mawazo yako mbali. Lione hili kama jambo la kawaida tu. Kwenye baadhi ya nchi kuna maduka ya vyakula ambamo wanauza nyama halal na wanaandika na kunadi hivyo. Wala halionekani jambo la ajabu. Na hili tukilichukulia kama ni jambo la kawaida tu, wala hatutafika kule watu wanakohofia.

Mkuu Mpita Njia ingekuwa suala hili watu wazima wamekaa chini na kukubaliana kila dini iwe na machinjio yake wala licingenipa hofu hata kidogo.. Maendeleo yanapatikana kwa njia hiyo ya kujadiliana na kukubaliana bila ya mmoja kukiuka haki ya mwenzie.. Kinachonitatiza mie ni haya mabishano yaliosababisha kifo.. hawa wanadai haki ya kuchinja vitoweo vyao na wengine wanapinga haki ya wenziwao kuchinja vitoweo vyao.. Na kila kundi liko tayari kwa lolote.. iwe mvua iwe jua.. Kwanini..? Watoto wana haki ya kutuuliza wazazi kama sie tulikulia kwenye mazingira haya.. Tutawajibu nini..? Ninashindwa kuwajibu wanangu.. Naomba Mungu utusaidie waja wako..
 
Ishu km hii rais unamtuma Wassira,mtu kajichokea yule atatoa ushauri gani!?
 
Mangimeli.

Matusi ya nini? Kwa nini unanitukana bila sababu, je huwezi ku reply post ya mtu mpaka umtukane...
Okay, Unakumbuka wakati wa kampeni mwaka 2010, JK alichokuwa anakifanya juu ya mambo haya ya udini... Okay, hadi hali inafikia hapo, JK ameshatoa kalipio kali juu ya hili swala, au amechukua hatua gani kukomesha haya maswala? Au ishu ya Geita ndio ya kwanza kutokea kwenye hii series?
Okay, sometimes kama 0713 inakuwasha usiwe unatafuta mwanaume kwa nguvu, sisi wengine hatutumii hiyo kitu, kama vipi ipeleke mombasa ikakunywe, Nyambafu mkubwa wewe, mtakalia kukaa vibaraza na kunywa kahawa huku mkiburuza matakooo yenu... Sometimes watu, kama nyie ndio mliozaliwa kupitia 0713 za mama zenu... Nyambafu wewe.
 
Mkuu Mpita Njia ingekuwa suala hili watu wazima wamekaa chini na kukubaliana kila dini iwe na machinjio yake wala licingenipa hofu hata kidogo.. Maendeleo yanapatikana kwa njia hiyo ya kujadiliana na kukubaliana bila ya mmoja kukiuka haki ya mwenzie.. Kinachonitatiza mie ni haya mabishano yaliosababisha kifo.. hawa wanadai haki ya kuchinja vitoweo vyao na wengine wanapinga haki ya wenziwao kuchinja vitoweo vyao.. Na kila kundi liko tayari kwa lolote.. iwe mvua iwe jua.. Kwanini..? Watoto wana haki ya kutuuliza wazazi kama sie tulikulia kwenye mazingira haya.. Tutawajibu nini..? Ninashindwa kuwajibu wanangu.. Naomba Mungu utusaidie waja wako..
Naamini Mungu atasikiliza sala na maombi yetu jambo hili liishe kwa maelewano
 
Basi hawa ndugu zang karibun mje mnichinjie kitimoto wangu kama mwataka kila kitu mchinje nyie
 
Hii c dalili nzuri hata kidogo.. Tumeanza na mabucha.. Nini kitakachofuata baadae..? Maana tunashabikia lakini hebu tuangalie huko mbele kwa mwendo huu.. Ninawafikiria wanangu wanaokuwa katika mkanganyiko huu.. Ninawatengenezea mazingira gani ya kuishi kama Watanzania..? Naogopa sana.. Serious..

Ni kweli mkuu, hili sio suala la kushabikia hata kidogo! Inatakiwa serikali itoe amri kwa wote wanaoweka matangazo kama hayo wayafute kwani yanachochea sana mgawanyiko na yanaweza kusababisha madhara zaidi.
 
Mkuu Safari-ni-Safari unafikiri sana!
Hoja yake ina akili sana..

The question is not what you look at, but what yousee.
 
Kuna wakati ambapo tofauti zinaleta faida..
Kama huamini anachoamini mwingine si lazima mgombane..mnaweza kukubali kutofautiana!

The question is not what you look at, but what yousee.
 
Hii c dalili nzuri hata kidogo.. Tumeanza na mabucha.. Nini kitakachofuata baadae..? Maana tunashabikia lakini hebu tuangalie huko mbele kwa mwendo huu.. Ninawafikiria wanangu wanaokuwa katika mkanganyiko huu.. Ninawatengenezea mazingira gani ya kuishi kama Watanzania..? Naogopa sana.. Serious..

sema wewe,yaan mm naogopa hata kuchangia WaTZ we should think deep and ease our mind before we do.solution ni kupata kiongoz dictator
 
Ni kweli mkuu, hili sio suala la kushabikia hata kidogo! Inatakiwa serikali itoe amri kwa wote wanaoweka matangazo kama hayo wayafute kwani yanachochea sana mgawanyiko na yanaweza kusababisha madhara zaidi.

Unadhani Mkuu mwaJ kwa serikali hii iliopoteza credibity kwa wananchi inaweza toa amri na wananchi wakatii..? Wengi wa wananchi wanailaumu serikali imechangia suala kufika hapo lilipofika.. Kila upande unadai serikali inapendelea upande mwingine.. Halafu leo watoe amri hudhani ndo tatizo litazidi kuwa kubwa..? Hili ni tatizo ambalo linahitaji busara sana kulitatua.. Na makubaliano yeyote yapate ridhaa ya wananchi ili sasa serikali iwe na uwezo ya kuhakikisha inalinda makubaliano.. Huo ndo mtazamo wangu..
 
Hayo makubaliano wanafanya na nani kama sio viongozi wa dini? Mkuu unadhani kutakuwa na kukubaliana kokote katika kulaumiana kuliyopo sasa? Malumbano si ndio yatazidi? Mie nadhani serikali ilikiamua kulitatua hili tatizo inaweza kabisa. Lets say wanaamua kupitisha sheria ndogo chini ya sheria za serikali za mitaa itakayokataza ushabiki wa kidini na mambo kama hayo katika maeneo ya masoko na wakawaelimisha wananchi kuhusu hilo na kuamua kuzisimamia vilivyo nadhani watu wataacha.
 
IMETULIA, Mchezo huu lazima utaigharimu CCM tu! muungano huu ni lazima utaingia kwenye uchaguzi ujao, fikiri kwa ndani!
 
Back
Top Bottom