Wakristo bucha hii hapa

Wakristo bucha hii hapa

529706_343894205716285_672154241_n.jpg


"Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa uzembe wa Bunge na kwa sababu ya upuuzi wa CCM." tafakari kisha chukua hatua
Ingawa PhotoShop imehusika... lakini umefikisha ujumbe!
 
Mimi ni muislam lakini waislam wenzangu hamuwawezi wakristo, kwanza wako wengi na wana elimu kuliko sisi, sisi tumekalia majungu, uchawi na kulilia upendeleo. Kuchinja tunapata faida gani??? au hizo elfu tanotano? kwa nini tusisome tufanye kazi tuwe tunazipata zaidi ya hizo? hii dini nitaondoka siku za karibuni kujiunga na ukristu. Rais wetu hawezi kuongea lolote kututetea anajua litakalotokea hiyo siku atakaposema chochote. pia anatuogopa waislam kuwa tumamwita kafiri kama akiponda, anajua fujo zetu. Sijawahi kuona rais asiye na maamuzi kama huyu ni kama bendera anasubiri afundishwe nini cha kusema. Im out:majani7:

ndg hujawasikia walipogomea sensa kwa sabb kipengele cha dini hakipo? Wenzio wanaamini wako wengi kuliko wakristo na wana haki kuliko makafir!
 
Tunaishi kwa upendo sisi ni jamii mmoja, ki-historia waislam ndo wanachinja miaka yote, na hata kijijini kwetu ikiwa kuna sherehe kwa mkiristo anaitwa muislam achinje ili sisi ambao tunaamini mkiristo hawezi kuchinja tule nyama hiyo..! Hatufanyi mashindano ya kuchinja au kitu cha aina hiyo na ndo maana mabucha ya kiti moto yapo kibao na tunayaheshimu..! Ni suala la kiimani kwamba nyama akichinja muislam mkiristo anao uwezo wa uila bila shida wakati muislam hali nyama aliyochinja mukristo. Hili siyo suala la jana wa juzi ni tokea enzi na enzi, labda uniambie kuwa mnataka mabadiliko sasa

tatizo tulikuwa hatujui kwamba mnafanya ibada mnapochinja. Sisi itakuwa ngumu kushiriki ibada ya watu ambao wana imani tofauti
 
tatizo tulikuwa hatujui kwamba mnafanya ibada mnapochinja. Sisi itakuwa ngumu kushiriki ibada ya watu ambao wana imani tofauti
Ibada ipi tena mnashiriki? Ibada ipo katika ile dakika ya kuchinja siyo katika dakika za kula. Saa ya mnuso ni mnuso tu, hakuna ibada yoyote pale, piga pilau ng'ombe ndugu yangu
 
Hapo awali tuliishije? kwanini tusirudi kwenye maisha ya tangu mwanzo. Ni nini kilichotufikisha hapa? Kuna mtu alileta hapa ushahidi wa Quran kwamba waislamu hawazuiliwi kula nyama iliyochinjwa na Mkristo. If that is the case, wana sababu gani ya kuleta ugomvi kwenye masuala ya kuchinja? Kwa hakika serikali ichukue maamuzi magumu kumaliza tofauti na choko choko hizi zisizo na maana.
Na mimi ndo nadai tuishi kama zamani ambapo wakristo walikuwa wanatuomba tuwachinjie wanyama kama kuna shughuli ambayo mnuso wake utahudhuriwa na waislam..! Na ndivyo tumeishi siku zote, wakiristo wako flexible I mean dini yao haiwakatazi wao kula nyama aliyochinja muislam ila uislamu unawakataza waisilamu kula nyama iliyochinjwa na mkiristo. Nashindwa kuelewa kwa nini suala hili linaibuka leo wakati tumeishi miaka na miaka? Au ndo kusema kuwa wakiristo walikuwa wananyikmwa haki yao ya msingi ya kuwachinjia waislamu na kwamba sasa ndo wameamka na wanadai haki hiyo?
 
We unaumwa sana wewe, tena unaumwa kichwani. Kama ni suala la kiimani, imani ya nani? Yaani mimi niishi kwa imani yako?

Sasa kama ambavyo kitimoto ni haramu kwako basi na ndivyo ilivyo nyama iliyochinjwa na Mkristo. Hukuelekezwa kutuchinjia kwenye kitabu chako, umeelekezwa USILE, nukta
Jenga hoja hasira na matusi hayatakusaidia, zaidi zaidi unatuambia akili na nywele kila mmoja ana zake wakati wewe una upara.
 
Jenga hoja hasira na matusi hayatakusaidia, zaidi zaidi unatuambia akili na nywele kila mmoja ana zake wakati wewe una upara.

Wewe sikuona hoja yako, eti UPENDO. Haya mbona wewe usinipende kiasi cha kula mbuzi niliyemchinja?

Kuhusu akili, we huna
 
Na mimi ndo nadai tuishi kama zamani ambapo wakristo walikuwa wanatuomba tuwachinjie wanyama kama kuna shughuli ambayo mnuso wake utahudhuriwa na waislam..! Na ndivyo tumeishi siku zote, wakiristo wako flexible I mean dini yao haiwakatazi wao kula nyama aliyochinja muislam ila uislamu unawakataza waisilamu kula nyama iliyochinjwa na mkiristo. Nashindwa kuelewa kwa nini suala hili linaibuka leo wakati tumeishi miaka na miaka? Au ndo kusema kuwa wakiristo walikuwa wananyikmwa haki yao ya msingi ya kuwachinjia waislamu na kwamba sasa ndo wameamka na wanadai haki hiyo?
Siyo mimi ila na mimi nimecopy kutka kwenye jukwaa hili hapa: https://www.jamiiforums.com/dini-im...yama-iliyochinjwa-na-waristo-na-wayahudi.html.
kama ushahidi kwamba waislamu nao wameruhusiwa kula vilivyochinjwa na wakristu. Kwa kuwa kuchinja ni ajira, kwanini waislamu pekee ndiyo wawe na access kwenye ajira hiyo?
5_5.gif
5. Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha walio pewa Kitabu ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao. Na pia wanawake wema miongoni mwa Waumini, na wanawake wema miongoni mwa walio pewa Kitabu kabla yenu, mtakapo wapa mahari yao, mkafunga nao ndoa, bila ya kufanya uhasharati wala kuwaweka kinyumba. Na anaye kataa kuamini bila shaka a'mali yake
 
Mnauwa soko la nyama bongo n s kuwakomowa wa2 mnawakomoa wauza mabucha coz watakosa wateja weng
 
Itafikia wakati hata mabasi ukiona dereva kavaa kibarakashia watu hawapandi
 
Hii c dalili nzuri hata kidogo.. Tumeanza na mabucha.. Nini kitakachofuata baadae..? Maana tunashabikia lakini hebu tuangalie huko mbele kwa mwendo huu.. Ninawafikiria wanangu wanaokuwa katika mkanganyiko huu.. Ninawatengenezea mazingira gani ya kuishi kama Watanzania..? Naogopa sana.. Serious..
Ugomvi wameunzisha wenyewe (MUSLIM)!!! Wanatuona sisi makafiri tukichinja nyama. Kuna nchi nyingi sana duniani zinaishi na udini hivihivi. Sema, kwa Tanzania bara, Wakristo wakisusa kununua nyama iliyochinjwa na Waislamu, WAISILAMU wengi mtafunga bucha au kubadili biashara kabisa!!!
 
Naona kazi ndo imeanza, haya maandiko yanapatikana wapi? I mean kitabu gani? Kama ni bible ni agano gani? msitari wa ngapi?
Hujaona kwamba yamenukuliwa kutoka kwenye Quran?
Kwa nyongeza tu, kuna na haya hapa chini. Usiporidhika kata rufaa.
View attachment 83273
 
TULIVYOAMLISHWA 0…2 SS WAISLAM NA ALLAH.
*************** 0…2**************
( 3 )al maidah-
Mmeharimishiwa nyamafu, na damu,na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwapembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu. Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu; basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamiliish 0…2ieni Dini yenu, na nimekutimizieni 0…2 neema yangu, na nimekupendeleen 0…2i UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu......
*************** 0…2************
usiongeee tu bila ya ushaidi,uislam c dini ya kikundi kinachotegemea maamuzi ya kikao,
 
Siku zote mlikua wapi?, mnakula nyama aliochinja nani?,maandiko ya kuwakataza yameshuka lini?,kuchinja mlianza lini?,kunyonga mtacha lini?........kasome utajua asiri ya kuchinja ilianzia wapi.dini gani hiyo inaendeshwa na personal feeling
 
Wagala bhana, wana lilia kuchinja, mwisho wana chinjwa wao.
 
cha msingi juulize mtume muhammad alikuja miaka 600 baada ya kristo. Nani alichanja wakati huo.
 
Back
Top Bottom