Wakristo bucha hii hapa

Wakristo bucha hii hapa

Kugombea kuchinja ni njaa na uroho wa waislam, hakuna cha imani wala nini?
 
TULIVYOAMLISHWA �0…2 SS WAISLAM NA ALLAH.
*************** �0…2**************
( 3 )al maidah-
Mmeharimishiwa nyamafu, na damu,na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwapembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu. Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu; basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamiliish �0…2ieni Dini yenu, na nimekutimizieni �0…2 neema yangu, na nimekupendeleen �0…2i UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu......
*************** �0…2************
usiongeee tu bila ya ushaidi,uislam c dini ya kikundi kinachotegemea maamuzi ya kikao,

Naomba mnisamehe kwa kutoyaandika kwa kiswahili lakini natumaini maana nayotaka watu waipate sana sana wakristo wenzangu wataipata...tusiwe watu wa mwilini sana mpaka tukasahau biblia inasema nini kuhusu roho zetu na mwili.

1 Corinthians 8:4
So then, about eating food sacrificed to idols: We KNOW THAT AN IDOL IS NOTHING AT ALL in the world and that there is no God but one.

1 Corinthians 8:7
BUT NOT EVERYONE KNOWS THIS. Some people are still so accustomed to idols that when they eat such food they think of it as having been
sacrificed to an idol, and since their conscience is weak, it is defiled.

1 Corinthians 8:10
For if anyone with a weak conscience sees you who have this knowledge eating in an idol's temple, won't he be emboldened to eat what has been sacrificed to idols?

1 Corinthians 10:15
I SPEAK TO SENSIBLE PEOPLE; JUDGE FOR YOURSELVES WHAT I SAY.
 
Mimi ukija kwangu utajiju. Sijawahichinjiwa nyama na zero brain yeyote na nakula kile ninachotaka
 
cha msingi juulize mtume muhammad alikuja miaka 600 baada ya kristo. Nani alichanja wakati huo.

Naona hata tubadilishe Lugha tunapojadiliana suala la kidini..ukweli ni kwamba mambo mnayonga'ngania waislamu hayana msingi hata kidogo..sijui ni nini mnataka ninyi watu..kwani ukimwomba huyo mwenyezi mungu unayemwamini hawezi ingilia kati mpaka upigane kimwili?mbona ustaarabu hamna kabisa?Na je mkifa mnajua hatima ya watoto wenu?vita mnaiweza au mnasumbua tu?
 
Naomba tuwe na akili timamu..mimi sipo dini yoyote sababu wazazi wangu ni dini tofauti kati ya hizi mbili zinazogongana kila kukicha..pia naomba wabishi waje jeshini waulize wakristo wangapi na waislamu wangapi..uone nini kitatokea.Na kama wewe mbabe..anzisha vita uone..na pia naona wasio na akili ndo wakereketwa sana wa ugomvi.sasa anzisheni muone.
 
Back
Top Bottom