Wakopaji Twiga Bancorp rudisheni fedha, mnasakwa

Mkuu hiyo ndio nadharia lakini linapokuja suala la wanasiasa katika nchi hii nadharia na sheria zinawekwa pembeni mambo yanasonga. Huenda wengine walikopa kwa ajili ya kampeni ili wakipata vyeo walipe kwa kutumia mapato yanayotokana na siasa; hayapo sasa!!
Hivi collateral ya mbunge ktk kukopa ni ubunge wake au ni mali yenye thamani ya huo mkopo?
 
Hivi nyie mna matatizo gani? Kufilisika kwa twiga bancorp kuna uhusiano gani na CCM? mnaelezwa sababu za kuu ni fedha kutorejeshwa na wateja wake waliokopa. Wengine mnakuja na comment za kuishambulia ccm bila sababu za msingi kabisa. Kwan kama huna hoja si ukae tu kimya?
Sasa kama watu wa CCM ndio wwmekopa tena vigogo na hawataki kurudisha tusiseme? CCM wanasababisha mabenki yanafilisika huku ni kuwa uchumi wa nchi. Eboo
 
Kwa hali hiyo kufanya maamuzi hivyo benki nyingi sana zitafilisika kwenye utawala huo JPM.
Nashangaa hili swala raisi kuhamisha pesa kwenye matumizi mengine bila kupitia bungeni. Tatizo la nchi yetu ni mfumo raisi amepewa madaraka makubwa sana ndo maana anafanya anavyotaka yeye hata kama anakosea.

Mlitaka kulipana posho pesa za kwenda south afrcan ,kwa kisingizio cha kujifunza bunge linaendeshwaje ,mlipopitisha ile ya kulipana 300000/= makalio mbona haukushangaa kuwa ni matumizi ya hovyo ya pesa za walipa kodi
 
Waambieni wabunge wenu wakalipe mikopo wamepewa milioni 10 wameshapitisha ule muswada wa habari
Mlitaka kulipana posho pesa za kwenda south afrcan ,kwa kisingizio cha kujifunza bunge linaendeshwaje ,mlipopitisha ile ya kulipana 300000/= makalio mbona haukushangaa kuwa ni matumizi ya hovyo ya pesa za walipa kodi
 
Sasa kama watu wa CCM ndio wwmekopa tena vigogo na hawataki kurudisha tusiseme? CCM wanasababisha mabenki yanafilisika huku ni kuwa uchumi wa nchi. Eboo
CCM hao wanafiki ndo wanalalamika benki zimefilisika wakati wao ndo wamekopa huko hawajarudisha pesa
 
Botomline is siasa imegeuzwa kichaka cha wenye tamaa ya kuila nchi hili mpaka ibaki mifupa! Hujiulizi tu wale wazee wawili waliotoka ccm wakiwa na nyadhifa kubwa nini kinawafanya wajifiche upinzani?
 
Botomline is siasa imegeuzwa kichaka cha wenye tamaa ya kuila nchi hili mpaka ibaki mifupa! Hujiulizi tu wale wazee wawili waliotoka ccm wakiwa na nyadhifa kubwa nini kinawafanya wajifiche upinzani?
Acha unafiki pesa zimetumika kwenye kampeni pesa nyingi zimechukuliwa na makada wa CCM
 
Acha unafiki pesa zimetumika kwenye kampeni pesa nyingi zimechukuliwa na makada wa CCM
Tangu lini siasa ikawa ni investment ambayo bank itaweka katika category yake ya kustahili kupata mkopo?
 
Allen Kilewella
Mkuu juzi wakati raisi anaongea na wahariri wa vyombo vya habari alikuwa analalamika sana kwa kusema kwamba benki hii Twiga imefisilika kwa sababu watu wamekopa hawajarudisha wengi ni wanasiasa.
Kama ntakuwa nakosea utanikosoa ninavyojua mimi utaratibu wa kukopesha pesa una taratibu zake na masharti yake unapoenda kukopa pesa au kuna benki kama Twiga wao wanaangalia sura za watu maarufu ndo wanapewa mkopo?Je baada ya kukopa pesa na kushindwa kurudisha kuna hatua zinafuata kwa wahusika waliokopa ? Nisaidie kwanza hapo mkuu.

Haya ndio maswali wahariri walipaswa kuuliza manake Kuna vitu inaonekana presidaa anajua peke yake Na sie tunatakiwa tumuombee tuu kwanini asitujurishe wote Ili tukiomba tujue tunaomba nini.
 
Wale wahariri wengi uchwara hawana taaluma kabisa
Haya ndio maswali wahariri walipaswa kuuliza manake Kuna vitu inaonekana presidaa anajua peke yake Na sie tunatakiwa tumuombee tuu kwanini asitujurishe wote Ili tukiomba tujue tunaomba nini.
 
Back
Top Bottom