Wakopaji Twiga Bancorp rudisheni fedha, mnasakwa

Chama chetu kinapenda uwazi na ukweli hivyo kwa niaba ya wanalumumba ninaomba Uzi huu utumike kuweka hadharani wale wote wanaosemekana kudaiwa na Benki ya twiga na ambao wamesababisha benki hiyo kufirisika.
Hii itasaidia kuwaumbua wanasiasa wanaochangia kudidimiza maendeleo ya nchi yetu

Twende kazi wakuu
 
Back
Top Bottom