Butiama Hotel Shinyanga.Wakongwe habari!
Nimepata kumbukumbu za Fainali za Kombe la Dunia mwaka 1994, wakati huo nilikuwa nipo shule ya Msingi.
Mechi za mashindano haya nilizingalia Jet Club (ilikuwa ndani ya eneo la Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport wakati ule ulijulikana kama Uwanja wa ndege wa Dar es Salaam - Dar es Salaam International Airport.
Watu wengi waliokuwa wakiishi Kipawa na Kiwalani hapa ndio eneo la kwenda kuangalia mpira hasa kwa wale ambao walikuwa na ndugu ama marafiki wanaofanya kazi uwanja wa ndege.
Miaka ile uwanja wa ndege haukuwa na uzio wa ukuta kama ilivyo sasa.
Fainali ilipigwa Rose Bowl, katika jiji la Pasadena, California
Mechi ilichezwa kwa dakika 120 mpaka kwenye mikwaju ya penati. Brazil ikishinda kwa 3 na Italia kupata penati 2
Uliangalia mechi ya fainali ukiwa wapi?
Ikifika saa 2½ usiku unalala Hadi saa 8:00. Mechi inaanza 8½ usiku.Wakongwe habari!
Nimepata kumbukumbu za Fainali za Kombe la Dunia mwaka 1994, wakati huo nilikuwa nipo shule ya Msingi.
Mechi za mashindano haya nilizingalia Jet Club (ilikuwa ndani ya eneo la Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport wakati ule ulijulikana kama Uwanja wa ndege wa Dar es Salaam - Dar es Salaam International Airport.
Watu wengi waliokuwa wakiishi Kipawa na Kiwalani hapa ndio eneo la kwenda kuangalia mpira hasa kwa wale ambao walikuwa na ndugu ama marafiki wanaofanya kazi uwanja wa ndege.
Miaka ile uwanja wa ndege haukuwa na uzio wa ukuta kama ilivyo sasa.
Fainali ilipigwa Rose Bowl, katika jiji la Pasadena, California
Mechi ilichezwa kwa dakika 120 mpaka kwenye mikwaju ya penati. Brazil ikishinda kwa 3 na Italia kupata penati 2
Uliangalia mechi ya fainali ukiwa wapi?
Uwanja wa Sabasaba Kilwa Rd pale ndani kulikuwa na TV kibao kwenye mabaa ITV ikionyesha na Roberto Baggio akakosa penalty.Wakongwe habari!
Nimepata kumbukumbu za Fainali za Kombe la Dunia mwaka 1994, wakati huo nilikuwa nipo shule ya Msingi.
Mechi za mashindano haya nilizingalia Jet Club (ilikuwa ndani ya eneo la Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport wakati ule ulijulikana kama Uwanja wa ndege wa Dar es Salaam - Dar es Salaam International Airport.
Watu wengi waliokuwa wakiishi Kipawa na Kiwalani hapa ndio eneo la kwenda kuangalia mpira hasa kwa wale ambao walikuwa na ndugu ama marafiki wanaofanya kazi uwanja wa ndege.
Miaka ile uwanja wa ndege haukuwa na uzio wa ukuta kama ilivyo sasa.
Fainali ilipigwa Rose Bowl, katika jiji la Pasadena, California
Mechi ilichezwa kwa dakika 120 mpaka kwenye mikwaju ya penati. Brazil ikishinda kwa 3 na Italia kupata penati 2
Uliangalia mechi ya fainali ukiwa wapi?
Ulikuwa unaishi kwenye ulimwengu mwingine kabisa.Kwenye ziwa la mom😅
Kwahiyo vijana wa wa Temeke na kwa Aziz Ali mlikuwa mnajumuika SabasabaUwanja wa Sabasaba Kilwa Rd pale ndani kulikuwa na TV kibao kwenye mabaa ITV ikionyesha na Roberto Baggio akakosa penalty.
Hiyo ilikuwa nusu fainali, Brazil na Sweden, mpira ulipigwa usiku mkubwa sana, yaani ile kufika home baada ya muda mchache naamshwa nioge/ninawe ili niwahi namba shuleniIkifika saa 2½ usiku unalala Hadi saa 8:00. Mechi inaanza 8½ usiku.
Nlikua vidudu ( siku hizi vinaitwa nursery) naenda shule kunywa uji huku nna daftari dogo lililogawanyishwa kati yakapatikana mawili, vivyo hivyo na penseli inavunjwa mara mbili. Nikitoka shule ni kombolela mwanzo mwisho.
Mengine yote sijui.
Tulikua tunaziita gulbit sijui ni sawa make maneno ya enzi hizo bana kuna mahali tulizoea kupaita olofea nmekuja kuwa mzee ndo najua kumbe ilikua welfare 🤣🤣🤣Wewe utakuwa na umri sawa na Last born wetu, yeye ndio alikuwa anakwenda chekechea miaka hiyo. Alikuwa anapenda sana zile pipi za kijiti (actually ni sukari ilikaangwa). Hakukuwa na hizi Big Boom wala Ivory chocolate. Sisi wakubwa tulikuwa tunatumia pipi za Toffee au Pipi kifua.