Wakongo wamezidi uroho.

Wakongo wamezidi uroho.

Na kima ni nini Mkuu? Ngedere?
Kunatofauti ndogo kati ya kima na ngedere.
Ngedere ni waharibifu na wasumbufu mno wana akili kama nyani. Kima kimaumbile anafanana na ngedere ila hana akili na ujanja kama wa ngedere.
 
Hahaaaaaaa....
Wayege nawakumbuka Kyle kibiriz miaka ya 1990....
Sasa hv wamepungua sana maana ili ubebe boksi mpska uwe na div 4. Sasa wale wayege wa kahabwa na buronge wameishia kuchimba mchunga migazini na kufyatua tofali.
 
Back
Top Bottom