carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,802
LEO hujasema aiseehHahaha
LEO hujasema aiseehHahaha
Aseeh wakongo walafi wanakula hadi konokono duuhLEO hujasema aiseeh
Kama una picha ipost mkuuUmenena mkuu, hiyo menu no balaa
Hahahaaaa eti migazini....ukishaenda shule unasema chikichi.Sasa hv wamepungua sana maana ili ubebe boksi mpska uwe na div 4. Sasa wale wayege wa kahabwa na buronge wameishia kuchimba mchunga migazini na kufyatua tofali.
Hadi nyoka!View attachment 491940MENYU ZA CONGO
Bugari Soko mtu! Mama yangu, si ndugu zetu sokwe!hiyo kono kono haloo mmh hapana
vyakula vyao ngumu kulaBugari Soko mtu! Mama yangu, si ndugu zetu sokwe!
Mahare ndio nini jamani?Niliwahi kuingia kwenye mgahawa wa hawa jamaa, mahare yanachanganywa na dagaa wa kigoma. Lakini vitamu.
Mkuu mm ni mzawa pyua wa huko najua misemo yote kama kinyantimba.. Kindulwa... Kifyero etc.Hahahaaaa eti migazini....ukishaenda shule unasema chikichi.
Mkuu mondray unakifahamu kibombobombo??