Wamejaa kigoma teleWabembe hata Tanzania wapo.
Msaobene!!!
Niliwahi kuingia kwenye mgahawa wa hawa jamaa, mahare yanachanganywa na dagaa wa kigoma. Lakini vitamu.
I wish I could be IGP,kwani uliambiwa JF ndiyo sehemu ya kubeza chakula cha wakongoman.😉😀😀Are you sure?
You want to set a limit to my freedom?![]()
![]()
![]()
Wewe mbeya sana,duh.Unakumbukia enzi za Javan?
Mimi muarusha sijawahi kufika hata iringa nikaringa!!!! Siku ile nilifurahi kuona kuna mtu anamjua vyema nikaamini story yake. Unajua siku hizi story za kutunga hapa JF zimetahamalakiWewe mbeya sana,duh.
kuna yale maduduwasha yanakaa miembeni yana rangi blue bahari na vidoti vyekundu wanakula pia
PtuuuuuuDAH MKUU, HIYO SIGNATURE YAKO NI BALAA!...I guess hiyo Birai-Sokomutu itakuwa Biriani kwa nyama ya Sokwe.