Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,515 28,487 Apr 6, 2017 #2 teh teh teh teh Mulhat Mpunga na CHIKIRA MTABARI twendeni vcation Congo tukale bugali konokono.
Humble African JF-Expert Member Jul 28, 2013 4,779 14,377 Apr 6, 2017 #3 Sijaona mukekee!? Ni bien sana na ndonge ya bugali.
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 Apr 6, 2017 #6 Duniani kuna mambo Attachments FB_IMG_1491496497234.jpg 29.7 KB · Views: 51
Kituko JF-Expert Member Jan 12, 2009 9,555 9,349 Apr 6, 2017 #7 tejateja said: View attachment 491940MENYU ZA CONGO Click to expand... Mapondo ni Ngadu-Crabs (wale wa mtoni wadogo weusi) Makaku ni Nyani
tejateja said: View attachment 491940MENYU ZA CONGO Click to expand... Mapondo ni Ngadu-Crabs (wale wa mtoni wadogo weusi) Makaku ni Nyani
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,720 215,778 Apr 6, 2017 #8 Niliwahi kuingia kwenye mgahawa wa hawa jamaa, mahare yanachanganywa na dagaa wa kigoma. Lakini vitamu.
Niliwahi kuingia kwenye mgahawa wa hawa jamaa, mahare yanachanganywa na dagaa wa kigoma. Lakini vitamu.
makondekoujiji JF-Expert Member Aug 31, 2015 384 499 Apr 6, 2017 #10 Mma ifunde tu indagala tu ichalanga Inaatobhi kabisa.mbona cjaona?
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,113 24,642 Apr 6, 2017 #11 Birai-sokomutu ukichanganya na mapondo lazima ujilambe, ni tamu balaa hiyo kitu!
mitale na midimu JF-Expert Member Aug 26, 2015 10,420 17,722 Apr 6, 2017 #12 Hahahha eti bugali hahaha
mwanajamii mpya JF-Expert Member Mar 18, 2017 554 445 Apr 6, 2017 #13 Miogo panya ni nouumaaa,, tamu balaa
tejateja JF-Expert Member Feb 26, 2015 1,620 970 Apr 6, 2017 Thread starter #15 makondekoujiji said: Mma ifunde tu indagala tu ichalanga Inaatobhi kabisa.mbona cjaona? Click to expand... Mkuu hujaeleweka
makondekoujiji said: Mma ifunde tu indagala tu ichalanga Inaatobhi kabisa.mbona cjaona? Click to expand... Mkuu hujaeleweka
makondekoujiji JF-Expert Member Aug 31, 2015 384 499 Apr 6, 2017 #16 tejateja said: Mkuu hujaeleweka Click to expand... Hicho ni kibembe toka Kongo mzee
tejateja JF-Expert Member Feb 26, 2015 1,620 970 Apr 7, 2017 Thread starter #19 makondekoujiji said: Hicho ni kibembe toka Kongo mzee Click to expand... Wabembe hata Tanzania wapo. Msaobene!!!
makondekoujiji said: Hicho ni kibembe toka Kongo mzee Click to expand... Wabembe hata Tanzania wapo. Msaobene!!!
makondekoujiji JF-Expert Member Aug 31, 2015 384 499 Apr 7, 2017 #20 tejateja said: Wabembe hata Tanzania wapo. Msaobene!!! Click to expand... Ole makala buchichi yangwene!! Tupo nao kibao huku kwetu...et Leo hii wanajifanya ndio wazawa wa Kigoma.!
tejateja said: Wabembe hata Tanzania wapo. Msaobene!!! Click to expand... Ole makala buchichi yangwene!! Tupo nao kibao huku kwetu...et Leo hii wanajifanya ndio wazawa wa Kigoma.!