Wako wapi viongozi wa dini? Je hawaoni na hili au hakuna la kusema?

Ndugu wànajamvi muda umeenda kidogo tangu mpendwa wetu tundu lisu ashambuliwe na watu wasiojulikana

swali la muhimu kwa mini viongozi wa dini wako kimya kwa tukio kubwa kama hats wasitoe tamko la kulaani tukio hilo?

Nchi nzima ilishtuka lakini viongozi wa dini wamekaa kimya sana je nini maana ya ukimya huu ?

karibuni kwa mjadala huu wenye afya kwa maslaji ya taifa
 
Kwa ufahamu wangu ukiwa kiongozi wa kiroho hupaswi kuwa na upande,ni jukumu lako kulainisha roho zilizosawijika.Ni wajibu wako kuwapa neno la tumaini waliogadhibikiwa.Vile vile ni wajibu wako kuwashusha wenye kibri na majivuno.

No viongozi wa dini bali wacgumia tumbo, wanafiki, wafuasi wa ukandamizaji, ushetani.
 
Kwa ufahamu wangu ukiwa kiongozi wa kiroho hupaswi kuwa na upande,ni jukumu lako kulainisha roho zilizosawijika.Ni wajibu wako kuwapa neno la tumaini waliogadhibikiwa.Vile vile ni wajibu wako kuwashusha wenye kibri na majivuno.
Unakemea kupigwa risasi Lisu, unakemea kupigwa risasi Askari. Hiyo siyo kuwa upande wowote
 
Tunawamiss sana viongozi wa dini wa aina ya Yohana mbatizaji katika Taifa letu, aliyekuwa na ubavu wa kukemea uzinzi wa mfalme Herode aliyekuwa amemchukua mke wa ndugu yake. Alimwambia "si halali kwako kuwa na mke wa ndugu yako"
Tunatarajia viongozi wa dini wawe tayari kukemea maovu hata kama yatawakuta yaliyompata Yohana mbatizaji. Yohana mbatizaji alifungwa gerezani na hatimaye alikatwa kichwa lakini heshima yake inadumu milele.
 
Viongozi wenyewe ni akina sheikh Sharif majini, sheikh kipozeo, mama rwakatale, kilaini na askofu pengo

Sent From My Nokia Ya Tochi

Huyo sheikh kila siku nasikia tangazo lake mawingu fm, anatangaza mafuta ya bughuli shemdi na nyota mng'ao :D:D:D:D
 
Back
Top Bottom