Wako wapi viongozi wa dini? Je hawaoni na hili au hakuna la kusema?

Wapo wapi mashekh, wapo wapi maaskofu, wapo wapi wachungaji. Kwenye tukio kubwa kama hili tulitegemea tamko kutoka kwenu. Ok wacha tuwaache na uongozi wa dini zenu. Sisi tumuombe muumba amponye mh Tundu LISSU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wengi wao ni wanafki wanaofaidika na wananchi kukandamizwa!! Ingekuwa ni dhidi ya viongozi wa serikali saa hizi wangekuwa wanashindana kutoa matamko.

Mungu mwema wa mbinguni atanponya Lisu si hawa wanafki

Cairo's
 
Viongoz wa dn tz n wanafk sana, tena sana kazi yao n kumpongeza tu baba jeska, kukemea vtendo hivi vya unyama kmyaaa hofu tu, na mungu atawaulza siku ya mwsho endeleeni na unafk wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muda mrefu sasa, Roho wa Bwana hayuko tena kanisani. Aliishaliacha kanisa kitambo. Kanisa sasa si ishara wala sauti ya Mungu kama ilivyozoeleka hapo kabla. Kanisa sasa limeishia kuwa jukwaa lingine la wanasiasa kukutana na kupiga porojo na propaganda za vyama vyao vya siasa.

Kwa maneno mengine, kanisa limegeuka kuwa jukwaa la propaganda za kisiasa. Viongozi wa makanisa wamekumbatia na kupumbazwa na tamaa na urafi wa pesa. Pesa ambayo ni rahisi kuipata kwa kupitia migongo ya wanasiasa. Ujio wa mwanasiasa kanisani, ni fursa ya mavuno ya pesa kwa kanisa husika.

Viongozi wa makanisa, hawana muda sasa wa kuhubiri Injili ya Kristu, kama ilivyoasisiwa na Bwana Yesu Kristu mwenyewe! Viongozi wa makanisa sasa muda wao wote ni kusubiri kwa hamu kubwa kutembelewa na mwanasisa katika makanisa yao, kuliko kujiandaa na ujio wa Yesu Kristu!

Tutarajie nini toka kutoka kwa viongozi wa dini leo hii!
 
Kwani Lisu kawa nani mpaka viongozi wa mlete lawana kwa viongozi wa dini?
yeye ndio wa kwanza kupigwa risasi au kushambuliwa nchi hii?? Naye si ni raia tu kama raia wengine??
waacheni viongozi wa dini wachunge kondoo zao sehemu za ibada huko na sio kuwahusisha kutoa matamko kwenye matukio ambayo wala hayawahusu.
 
Viongozi wenyewe ni akina sheikh Sharif majini, sheikh kipozeo, mama rwakatale, kilaini na askofu pengo

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Inashangaza sanaaaaa imeniuma pia siwezi amini kama hata kanisa lake kama muumini wameshindwa kusema????? Siamini kama ndumba zinafanya kazi mpk makanisani na misikitini.
 
Back
Top Bottom