Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,839
- 93,626
Kabisa mkuuKweli kabisa hawa sio wanafiki ni wasema kweli.
Kabisa mkuuKweli kabisa hawa sio wanafiki ni wasema kweli.
Lissu ashatukana kila mtu isipokuwa MTEI na MBOWE !Acha unafiki wewe ni lini Lissu aliwatukana viongozi wa dini,kama kiongozi wa dini ni kweli sio mnafiki anaongoza dini hawazi gombana na wanasiasa lkn kama ni kiongozi mnafiki anaetetea udhalimu lazima wanasiasa wampe za USO.
Mtu muovu hawezi kukemea uovuWapo wapi mashekh, wapo wapi maaskofu, wapo wapi wachungaji. Kwenye tukio kubwa kama hili tulitegemea tamko kutoka kwenu. Ok wacha tuwaache na uongozi wa dini zenu. Sisi tumuombe muumba amponye mh Tundu LISSU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka useme Viongozi wa dini Wana visasi?Viongozi gani ?
Hao ambao huwa anawatukana kila siku ?
KabisaHata siku moja usije ukawaamini viongozi wa dini.. Wengi wao ni zaidi ya Prof. Mruma
Hao wala usiwaulizie!!!! wasije wakakosa buree kukaa viti maalumWapo wapi mashekh, wapo wapi maaskofu, wapo wapi wachungaji. Kwenye tukio kubwa kama hili tulitegemea tamko kutoka kwenu. Ok wacha tuwaache na uongozi wa dini zenu. Sisi tumuombe muumba amponye mh Tundu LISSU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana visasi ila wanajitenga tu na yasiyowahusu. Mchuma janga hula na wa kwao. Kwanini mtu unajiingiza kwenye mapambano halafu unategemea utetewe na watu ambao hata huna mahusiano mema na wao !
Nimesikitishwa na tukio la kupigwa risasi Mheshimiwa Tundu Lissu. Ni tukio linalopingana na misingi ya sheria za nchi (kidikteta). Bila shaka wakati wa ukombozi ukifika hata jiwe litapiga kelele, ninaamini wakati wenyewe haupo mbali. Ni ujinga na upuuzi kudhani kwamba matumizi ya silaha yanaweza kuzuia ukombozi. Wanaodhani hivyo wanakinzana na akili zao.Wapo wapi mashekh, wapo wapi maaskofu, wapo wapi wachungaji. Kwenye tukio kubwa kama hili tulitegemea tamko kutoka kwenu. Ok wacha tuwaache na uongozi wa dini zenu. Sisi tumuombe muumba amponye mh Tundu LISSU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wapi mashekh, wapo wapi maaskofu, wapo wapi wachungaji. Kwenye tukio kubwa kama hili tulitegemea tamko kutoka kwenu. Ok wacha tuwaache na uongozi wa dini zenu. Sisi tumuombe muumba amponye mh Tundu LISSU.
Sent using Jamii Forums mobile app
hao viongozi wengine wa dini wako bize kurudisha vipande 30 vya usaliti
huku hawawezi kukenua mandible zao
Wanafiki tuuu, hakuna dini ni wapiga hela tuuWapo wapi mashekh, wapo wapi maaskofu, wapo wapi wachungaji. Kwenye tukio kubwa kama hili tulitegemea tamko kutoka kwenu. Ok wacha tuwaache na uongozi wa dini zenu. Sisi tumuombe muumba amponye mh Tundu LISSU.
Sent using Jamii Forums mobile app
mara nyingi walio kimbelembele katika kuzisema mamlaka ni ndugu zangu viongozi wa Kikristo.
kwa JK na Mwinyi walikuwa wanasema hovyo sana lakini kwa Mkapa na awamu hii wameufyata.
je, huu siyo "udini" (mfumo Kristo) ambao ndugu zetu Waislamu wanaulalamikia miaka yote?
mimi ni Mkristo niliyempokea Yesu tayari.