Viongozi gani ?Wapo wapi mashekh, wapo wapi maaskofu, wapo wapi wachungaji.... Kwenye tukio kubwa kama hili tulitegemea tamko kutoka kwenu... Ok wacha tuwaache na uongozi wa dini zenu.... Sisi tumuombe muumba amponye mh tundu LISSU
Sent using Jamii Forums mobile app
mara nyingi walio kimbelembele katika kuzisema mamlaka ni ndugu zangu viongozi wa Kikristo.Wapo wapi mashekh, wapo wapi maaskofu, wapo wapi wachungaji.... Kwenye tukio kubwa kama hili tulitegemea tamko kutoka kwenu... Ok wacha tuwaache na uongozi wa dini zenu.... Sisi tumuombe muumba amponye mh tundu LISSU
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejiuliza swali tangu Jana jioni nimebaki mdomo wazi. Ila imenisaidia kuwafahamu viongozi wetu Wa dini ikiwemo ya kwangu kuwa ni WACHUMIA TUMBO na Mungu atawahukumu kwa unafiki wenu.Wapo wapi mashekh, wapo wapi maaskofu, wapo wapi wachungaji. Kwenye tukio kubwa kama hili tulitegemea tamko kutoka kwenu. Ok wacha tuwaache na uongozi wa dini zenu. Sisi tumuombe muumba amponye mh Tundu LISSU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unafiki wewe ni lini Lissu aliwatukana viongozi wa dini,kama kiongozi wa dini ni kweli sio mnafiki anaongoza dini hawazi gombana na wanasiasa lkn kama ni kiongozi mnafiki anaetetea udhalimu lazima wanasiasa wampe za USO.Viongozi gani ?
Hao ambao huwa anawatukana kila siku ?
Kweli kabisa hawa sio wanafiki ni wasema kweli.Tanzania viongozi wa dini ni wawili tu Gwajima na Ponda wengine ni zaidi ya Lipumba.